mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,950
- 131,493
Ni kweli, nina dogo wa 15yrs huyu alikuwa anapenda sana katuni lkn sasa kapunguza kutokana na muda kusoma,Kinacho nipa mawazo age yao iendane na wanacho angalia mtoto akifoka 18 inabidi abadilike kuendana na umri wake sio kufanya vitu vya mtoto wa miaka 5 had 9.
Nina huyu wa kiume,anapenda sana katuni hasa weekend na anapenda sana mpira wa miguu anacheza,hivyo ana ratiba zake mwenyewe,,,huyu kutokuwa bize na Tv alinunuliwa baiskeli,