Hivi Hamadi Rashidi ana tatizo gani?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Huyu mzee wangu alipokuwa CCM aliwavuruga wakamtimua,akaenda CUF wakadai anawavuruga wakamtimua, kwa sasa yuko ADC nao Canal analalamika anawavuruga!

Huyu mzee wangu in kwanini kila anapoenda analalamikiwa, nini hasa tatizo lake? Nini kiko nyuma yake?
 
Huo mfumo wake wa kuvuruga ndio neema yake na familia yake.

Huyo mzee amechuga life stayl hiyo kuvuruga ndio biashar/ shamba lake.
Anapo fanikiwa kuvuruga ndio malengo yake yametimia.
 
Kuna watu kawaida yao ni kuishi maisha ya kujipendekeza kutokuwa na msimamo watu hawa ni hatari sana katika jamii yenye mshikamano.
 
Huyu laana ya usaliti itamtafuna hadi kaburini , sijawahi kuona mchumia tumbo wa kiwango chake , hata Lizaboni hamuwezi .
 
Back
Top Bottom