Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
ni nzuri pia sababu ni tofauti na mitandao mingine wanavyofanya voda kama unadaiwa ukiweka tu salio wanakata ila halotel wanakupa mda me nadaiwa na halotel 1000 mwezi ushakata hawajakatani kweli wana shida kwenye hiyo huduma ya patasalio hasa ukiwa ulijiunga kwa kureply ile sms yao ya mwanzo utakuwa unapewa mkopo pale tu salio linapoisha hata kama huhitaji. unaweza kujitoa kwa kuandika ONDOA kwenda 14963. au neno OFF kwenda hiyo namba