Acha uongo mbona mimi natumia laini ya halotel haina mauza uza.Saa nyingine wanazingua kifurushi ukijiunga MB zinachukuliwa bila hata ya kuzitumia. Au ile huduma yao ya kopa Salio hata kama hutaki kuwakopa unashitukia wameshakutumia hata huna shida ya kukopa unawekewa.
Kwanini mnafanya hivi?
Natumia laini 4 za mitandao ya tigo, voda, airtel na halotel..kwangu mimi halotel is the best in Tanzania
KWE KWE KWE KWE ha ha ha ha ha ha ha haUmejaribu TTCL.
Hapana mkuu. Nimesikia huduma zimeboreshwaUmejaribu TTCL.