Hivi haiwezekani

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,668
Reaction score
33,692
Hello JF,

Nimeona thread hapa nikajiuliza…

kwa nini,kwenye vyama vyetu kusiwe na kanuni,

wakimsimamisha mgombea..na akawa Rais,awe careful monitored kwa maslahi ya Taifa

Kama term ni miaka mitano,baada ya miaka miwili na nusu ya kuingia ikulu, mtu achunguzwe na chama chake kama bado ana 'fit' hicho kiti

Kama hafai then Chama kimtoe mtu mwingine,

in short Rais nae awe anatumbuliwa..LOLS

hivi hivi mpaka miaka kumi ipite .huku ukiona kabisa madudu yanayoendelea...kwa kweli haipendezi...
 
Magufuli ananifurahisha sana. No sugarcoating.. Anakupa raw and undigested. Ukinuna ukichukia yeye mbele kwa mbele utajiju. Utajinye.
 
Maneno Matamu Sitayasema Mimi Nitasema Makavu Makavu
 
Mbili na ishirini hyu burigi aliejivisha umungu mtu hatoboi, mark my words.
 
Mi naona badala ya kumsukumiza mtu mmoja kuwa rais tuweke mfumo wa nchi kuongozwa na kikundi cha wataalamu kama 10 au 20 ili kuondoa hii hali ya kumlaumu mtu mmoja mpaka inafikia hatua ya kutamani asimalize miaka 5 ambayo iko kikatiba
 
Mi naona badala ya kumsukumiza mtu mmoja kuwa rais tuweke mfumo wa nchi kuongozwa na kikundi cha wataalamu kama 10 au 20 ili kuondoa hii hali ya kumlaumu mtu mmoja mpaka inafikia hatua ya kutamani asimalize miaka 5 ambayo iko kikatiba

Nimependa mchango wako mkuu,sio kama sasa hivi mkuu analalala/kesha na mafaili..lol.halafu its easy kuwatumbua hao wataalamu..kama they dont deliver...
 
Wenzetu ANC wana watu wanaoitwa "Top 6" Wakuu 6 wa chama akiwemo Raisi,Makamu wake,Mwenyekiti wa Chama na wengine wa3 waliopendekezwa na chama. Ikitokea wa4 ktk hawa top6 hawamtaki Raisi basi Raisi anapigwa chini na Makamu wake ndie anayekuwa Raisi wa Nchi, waliyafanya kwa Mbeki na Zuma. Hii ndio Balance of Power
 
It's Okay! Hayo Ni Mawazo Yako Na Yaheshimiwe. Lakini kuna Maswali kadhaa ya kujiuliza:

Ni kwa Standards zipi hicho chama husika kitaweza kumpima huyo Rais anayetoka katika chama chao kwamba anafaa kuendelea kuwa Rais ama hafai? maana kila chama kina Miongozo na Taratibu zake.

Na pia katika mifumo iliyopo neno 'Maslahi' ni pana sana. Kiongozi husika anaweza akaonekana ndani ya chama chake anafaa kwa Maslahi ya chama husika na si kwa Maslahi mapana ya Taifa kwa ujumla. Je chama husika kitakuwa tayari kumuondoa ili kuruhusu ushindani mpya wa kuweka mtu mwingine kwenye nafasi yake?
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa iwe. Nchi nyingi zina katiba zenye nguvu sana za kuweza hata kumuondoa Rais madarakani ndani ya kipindi kifupi sana kwa kura ya NO CONFIDENCE ila hapa kwetu ndiyo hivyo tena hawa wahuni wanadai wana “desturi” ya kuachiana mtu amalize term zake mbili bila ya kujali maslahi ya Watanzania 57 millions.

 
Nimependa mchango wako mkuu,sio kama sasa hivi mkuu analalala/kesha na mafaili..lol.halafu its easy kuwatumbua hao wataalamu..kama they dont deliver...
Sure mkuu hii ya kulala na mafaili sio nzuri maana unaweza kupitiwa na usingizi ukajiwa na ndoto nyevu ikala kwako
 
Walipo kosea ni kumfanya raisi at the same time ni mwenyekiti wa chama.
 
Nimependa mchango wako mkuu,sio kama sasa hivi mkuu analalala/kesha na mafaili..lol.halafu its easy kuwatumbua hao wataalamu..kama they dont deliver...
Ila yule baba anajiona yuko perfect kwenye uongozi wake. Yeye ndiye mkamilifu hana kasoro yoyote anaongoza nchi kama yake.
 

Mkuu standards kwa mimi nadhani ni uchumi,demokrasia ,na pia vipaumbele vilivyonadiwa wakati wa kampeni kama vimetekelezeka….na pia kusiwe na upendeleo kama sasa hivi unaona resources zote zimeelekezwa Chato….

Maslahi uko sahihi ,kuwapata watu genuine wenye maslahi ya taifa mbele ni kazi sana..ila we are getting there..lol
 
Huu utaratibu ungekuwepo kuna jamaa wa Taifa moja la EA angeshatumbuliwa na kuwekwa gerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…