Hivi fedha hizi huwa zinatoka wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi fedha hizi huwa zinatoka wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gervase, May 24, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndg zangu em niweke sawa. Huku kwetu twaweza kaa miaka kibao na kipande kibovu cha barabara, huku halmshr wakilia lia eti hakuna fedha. Lkn inapotokea anakuja kiongoz wa kitaifa, say mh mkubwa wa inji, basi utaona a week b4 or 2, greda kibao zinapishana kwny kipande hcho cha road mpaka kieleweke. Hv fedha hz za ghfla hutoka wapi? Ambao hamjapata bht ya kutembelewa na waheshmw....! Hii inakuwaje wajomba? Nawasilisha.
   
Loading...