Hivi euro zone itasambaratika?

k_u_l_i

Senior Member
Jan 26, 2010
122
2
Mpango wa kuiweka Greece afloat uko mbioni lakini kwa kweli haijulikani kama utafanikiwa au vipi.Tumeshaona harakati za kupunguza matumizi makubwa huko Greece yameleta migomo na maandamo makubwa.
Kushidwa kwa Greece kulipa madeni yake kutasabasisha kubamizwa kwa benki nyingi hasa za Marekani na UK. Nchi zinazoendelea kama vile India, China, Brazil zitaathirika sana na akina sie (Tz) tutaanza kukohoa
kwa sababu ya kupungua kwa euro zone import na hela ya pipi wanazotukatia hapa na pale. Sifikiri kama huu mgogoro unaelekea huko kwa vile akina Mjarumani na Mfaransa have much to lose as they account for more than half of the euro zone GDP and happen to be Greece biggest creditors. Wasiwasi wangu hapa ni in the near future, nani ana uwezo wa kuzisaidia nchi kama Spain na Portugal ambazo ziko hoi. Hasa Spain ambayo ina-account for 11.5% of the uero zone GDP and is in really big sh!t. Hapo wadau euro zone inaweza kuanza kusambaratika kwasababu nchi zinazoshidwa kulipa madeni yake zitapata joto ya jiwe kujitoa/kutolewa kwenye shirikisho na ku-devalue their new currency in order to make export more competitive.
Wadau kweli mmefikiria hili shirikisho la Afrika mashariki
icon10.gif
?

¬K
 
Back
Top Bottom