Hivi Edward Lowassa, Andrew Chenge na Rostam Aziz ni kina nani katika nchi hii?

habi alex

Member
Dec 1, 2011
90
12
Waheshimiwa naomba kuuliza hivi: Hao mapacha watatu wana nguvu kiasi gani kiasi cha kuwatisha viongozi karibu wote, kuwafanya sehemu kubwa ya wabunge vibaraka wao, watendaji mbalimbali kuwatii na kuwatumikia?

Nadhani ni binadamu tu kama binadamu mwingine yoyote, tena waoga sana, ila kwa kuwa hamna hatua madhubuti za kuwashikisha adabu zimechukuliwa dhidi yao wataiyumbisha sana serikali hii ya swahiba wao wa zamani.

Kwa nini CCM, Rais, na wote wenye uwezo wa kutamka neno likatamkika wasitamke neno tu na Watanzania wapone na waachane na kadhia ya hao watu?

Au wewe mwenzangu una maoni gani kuhusu ujasiri wa hawa mapacha watatu?
 
hawa watu wana kadhia gani??
 
Unaweza kututajia kadhia unazozipata kutoka kwao???
 
Hao ndio waliomuweka ****** wetu pale alipo na yeye alikiri kabisa alipohojiwa na Tido Mhando akakiri na kusema wana mtandao wamejiandaa kwa miaka 10 na walikuwa wanajua kila sehemu ya nchi hii yupo nani na anakazi gani aliopewa!!pesa ya watu imetumika na yeye wamemtumia sana........ingawa JK kama anawatosa kiaina!
 
Remember the story of "ANIMAL FARM" then you will know them!

Yawezekana ktk Animal Farm, Snowball ni Andrew Chenge, Napoleon ni EL na Frederick ni RA. Nadhani wewe mleta uzi utakuwa Mr. Jones.
 
Wewe ungejua pesa inayomwagwa makanisani ilikotoka, hiyo ndio kadhia.

Mimi siwataki hawa watu hata kama ni wazuri au wabaya. Wanatakiwa wajue kwamba jamii haiwataki na kwa kuwa katika haki viongozi huwa kwa ajili ya watu na sio watu kwa ajili ya viongozi, pia kwa kuwa wanaoweza kuwa viongozi nao ni wengi kati yetu, basi hakuna sababu ya hawa wenye najisi.
 
Hao ndio waliomuweka ****** wetu pale alipo na yeye alikiri kabisa alipohojiwa na Tido Mhando akakiri na kusema wana mtandao wamejiandaa kwa miaka 10 na walikuwa wanajua kila sehemu ya nchi hii yupo nani na anakazi gani aliopewa!!pesa ya watu imetumika na yeye wamemtumia sana........ingawa JK kama anawatosa kiaina!

Mkweree hawezi kuwatosa hawa kwani wamemshika pabaya; na akijaribu tu watammaliza na ndio maana hata hawamuheshimu wala kumuogopa!!! Anawaogopa watamwaga mboga!
 
Waheshimiwa naomba kuuliza hivi: Hao mapacha watatu wana nguvu kiasi gani kiasi cha kuwatisha viongozi karibu wote, kuwafanya sehemu kubwa ya wabunge vibaraka wao, watendaji mbalimbali kuwatii na kuwatumikia?

Nadhani ni binadamu tu kama binadamu mwingine yoyote, tena waoga sana, ila kwa kuwa hamna hatua madhubuti za kuwashikisha adabu zimechukuliwa dhidi yao wataiyumbisha sana serikali hii ya swahiba wao wa zamani.

Kwa nini CCM, Rais, na wote wenye uwezo wa kutamka neno likatamkika wasitamke neno tu na Watanzania wapone na waachane na kadhia ya hao watu?

Au wewe mwenzangu una maoni gani kuhusu ujasiri wa hawa mapacha watatu?

Naona umepata majibu yako yote maana sasa hata CHADEMA wanampigia magoti.
 
Umeuliza hao ni kina nani katika hii nchi kisha ukajakujijibu kuwa ni binadamu tu kama binadam mwingine yoyote.Sa'tukujibu nini?
 
Back
Top Bottom