Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Most of the items listed pale zipo kwenye bidding process, and some(one) that have a "buy now" option watu huwa wanasahau kusoma descriptions.
But let's take a more general case:
Using your example link, macbook design hasn't changed for years, Images are deceiving, descriptions are more accurate like a 2008 macbook has the same body/design as a 2012 macbook, there's no way yo can tell by looking at it unless described.
Pili, sometimes people won't list kuwa the stuff they are selling is for parts only in the title, but they usually put it on description, ukiingia mkenge ni buyer's fault.
Tatu, before buying a thing in ebay ni vizuri kuangalia seller's reputation, na ni vizuri after u buy something on ebay write a review and rate the seller, it will help other pia in the future.
I've been buying stuffs on ebay for years now, and I've never had issues, pia vitu vingi vipo covered kwenye ebay's buyer protection so you can file a complaint and get a refund if description ya seller didn't match the actual product.
Until then ebay is a safe place to shop, and most of the stuffs are legit and their prices usually reflects the condition of the device being sold.
Mchiz wangu ali test kwenye paypal anaambiwa payment completed kwenye email ajatumiwa paysheet afu anaambiwa item removed coz it didnt follow ebay guidelines for listing
Hii ni kweli hutokea na hasa kwenye masuala ya counterfeit, yaani bidhaa feki iPhone lakini sio ya Apple, na mambo kama hayo. Hata hivyo hii haipelekewi kuibiwa. Ukitoa taarifa kama umeshalipa fedha na kama umelipa kweli, basi pesa yako inarudi, hii ni uhakika.nimekusoma mkuu lkn kwa nn baada ya siku zinaondolewa eti azikulistiwa according to the rules mfano hiyo iweke kwenye watch list afu baada ya siku utaona
Hii ni kweli hutokea na hasa kwenye masuala ya counterfeit, yaani bidhaa feki iPhone lakini sio ya Apple, na mambo kama hayo. Hata hivyo hii haipelekewi kuibiwa. Ukitoa taarifa kama umeshalipa fedha na kama umelipa kweli, basi pesa yako inarudi, hii ni uhakika.
Hiyo laptop ni free shipping lkn kuna nyingine unawekewa price ya ku-ship ambayo naona kwa baadhi ya items huwa ni moja kwa nchi zote lkn kuna nyingine items shipping price uwekewi mpaka umcontact seller akwambie had nchini kwako ni bei gani lkn hii ina work iwapo ni shipping worldwideAsante mkuu kwa ufafanuzi huu. Naona hapo kuna mali kutoka China inayokuwa shipped world wide!!! Obvious na gharama ya hiyo bidhaa inaongezeka kulingana na sehemu wanapo i-ship sio?
Tiba
Ebay ni ujuzi wako wa kuchagua ukiangalia sana bei na kuacha kuangalia mambo mengine utaletewa kumpyuta ya kichina. Kuna mambo mengi muhimu unatakiwa kuangalia unaponunua kwenye Ebay:
1. Kagua picha za bidhaa kwa makini sana. Kwa mfano wengine huweka picha ya simu kukuonyesha kwamba skrini imechunika.
2. Soma kwa makini maelezo ya bidhaa, kwa mfano wengine huuza bidhaa kwa bei rahisi mno mpaka utashangaa, ukisoma maelezo utakuta kifaa kile hakifanyi kazi kinauzwa ili utoe spear au ukatengeneze mbele.
3. Angali utaratibu wa uuzaji, kwa mfano kwenye simu unaweza ukakuta bei ni £ 1, kumbe ni simu ya "contract", au inaweza ikawa bidding. Kuna mtu amenunua manual ya TV akidhani amenunua TV kwa bei rahisi kiasi cha kushangaza, lakini kwa vile alisikia eBay rahisi basi akavamia, siku zimepita kaletewa manual ya TV kurudi kusoma maelezo yameweka wazi kabis kinachouzwa ni manual lakini picha iliyotumika ni ya TV. Hata hivyo alirudishiwa fedha zake na paypal kwa kuwa picha ilikuwa inafanya udanganyifu.
4. Angalia historia ya muuzaji, kuhusu muuzaji unaangalia mambo matatu:
a.) Yuko wapi ili uweze kujua itachukua muda gani kueltewa bidhaa
b.) Ameuza bidhaa ngapi kama ana 10 au 30, huyu ni wa kumuepuka kwa sababu hana uzoefu au si mfanya biashara kwa hiyo anaweza akachukua pesa kisha akafunga akaunti. Lakini kama ameuza bidhaa 900 basi unajua hili ni duka.
c) Unaangalia asilimia ya feedback, kama anachini ya 98% basi ni wa kumuepuka huenda ana matatizo.
kuna mengi mengine ya kuangalia, la cha msingi ukiwa makini unaweza kununua vitu kwa miaka bila ya kupata matatizo na ukiwa unavamia basi watakuingiza mjini.