Dini ni ya muhimu sana katika ndoa au mahusiano... Na sio dini tu.. Mila na mengineyo... Why dini? Kwasababu ya imani na mafundisho, mafundisho ya dini... Mfano dini yangu inasema pombe sio kosa.. Yako yasema pombe ni kosa.. Hapo mtafika?
Dini yako yasema mke na mume mmoja mwenzio anasema wake wanne... Mtafika... Kujena familia mkiamini sehemu moja ina faida kwa watoto.. Fikiria mtoto amekuwa akienda church na mama.. Baadae Mungu anamchukua.. Baba anaanza mpeleka kwingine hy inakuwaje?