Kwani kuna nini wafuatiliaji wa hayo mambo na jamaa yenu?, sisi wengine hatuelewi kitu hapa maana huko hatupo, hebu tutoeni tongotongo amefanyaje huyo bwana? nasi tujue tupate la kuchangia
Mm sifuatiliagi mambo ya huyo jamaa, nakumbuka mara moja nmekuta clip zake youtube nikasikiliza napo baada ya kuona wameandika amesaidia watu/katoa msaada ndpo nikasikiliza japo kidogo na kumaliza mb zangu. Mambo mengine sionagi wakiyaleta, wakiweka kiumbea umbea wala sihangaiki na kutizama nafanya ku scrow down kuona nn kingine cha maaana youtube kimetupiwa