Hivi Dar ni nchi hadi mtuite sie wa Mkoani!??

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Husika na mada tajwa hapo juu
Nawauliza nyie watu wa Dar mnapotuita sie ni wa Mkoani ,it means nyie mpo kwenye nchi yenu na si mkoa wa Tanzania?
Mtasikia huyu anatoka mkoani
Mara watu wa Mkoani washamba
Mnaboa watu wa Dar na hizi dharau zenu.
 
Dar ni jiji kubwa seheme pekee isiyokuwa na kijiji wanasema nje kidogo ya mji wa dar ila mikoa mingine lazima Kuna kitu kinaitwa kijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…