Hivi Dar ni nchi hadi mtuite sie wa Mkoani!??

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Husika na mada tajwa hapo juu
Nawauliza nyie watu wa Dar mnapotuita sie ni wa Mkoani ,it means nyie mpo kwenye nchi yenu na si mkoa wa Tanzania?
Mtasikia huyu anatoka mkoani
Mara watu wa Mkoani washamba
Mnaboa watu wa Dar na hizi dharau zenu.
 
WATU WA MKOANI WANAOGOPA HADI VITU VIDOGO KAMA HIVI!!!

MKOANI.jpg
 
Dar ni jiji kubwa seheme pekee isiyokuwa na kijiji wanasema nje kidogo ya mji wa dar ila mikoa mingine lazima Kuna kitu kinaitwa kijijini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom