juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Baada ya kususa hapo juzi kwenye marudio ya uchaguzi,nmekuwa na maswali kichwani.hivi hiki chama kitashiriki tena uchaguzi kule zenji? Maana wao wanadai hata wakishinda ila ccm haipo tayari kukubali,sasa je hapo baadae wanahisi wakishiriki na wakashinda je ccm itawapa huo ushindi?? Kiukweli wakishiriki tena mi ntawaona ni wendawazima wakubwa! Haiwezekani mtu ususe harafu baadae ukubali tena na watu walewale