Hivi chauma imefia wapi jamani!!!

Hivi chauma imefia wapi jamani!!!

Waliohama wamecheza vibaya karata zao
Na CCM itawachia baharini soon. CCM ''inakupenda'' pale unapokuwa na faida kwake tu. Hata kama itawapa ubunge kwa nguvu kama wanavyopanga lakini bado kuna complications nyingi sana. Kwa mfano wabunge wa CCM hawakubali kuachia majimbo kwa ''machawa wapinzani'' kirahisi. Na kuteuliwa kwenye nafasi za serikali nako kuko very limited kwa sababu kuna machawa wa CCM wamekuwa watii kwa muda mrefu hivyo nao wanasubiri mavuno. Ukweli ni kuwa hawa wakionewa huruma, watakaofadika ni wachache mno na wengine wataishia kubangaiza mitaani.
 
Toka chama kikawa na sera ya ubwabwa wa kiporo
IMG_1546.jpeg
 
Na CCM itawachia baharini soon. CCM ''inakupenda'' pale unapokuwa na faida kwake tu. Hata kama itawapa ubunge kwa nguvu kama wanavyopanga lakini bado kuna complications nyingi sana. Kwa mfano wabunge wa CCM hawakubali kuachia majimbo kwa ''machawa wapinzani'' kirahisi. Na kuteuliwa kwenye nafasi za serikali nako kuko very limited kwa sababu kuna machawa wa CCM wamekuwa watii kwa muda mrefu hivyo nao wanasubiri mavuno. Ukweli ni kuwa hawa wakionewa huruma, watakaofadika ni wachache mno na wengine wataishia kubangaiza mitaani.
Sisiemu wanahangaika na No reform No Election wale mabwana wa Ubwabwa kuna uwezekano mkubwa hawajaingiziwa hela ya kazi mana tathimini inaonesha kazi imekua mbovu tofauti na matarajio hivyo ni upotevu wa hela soon wataanza kutoa siri ya kilichojiri
 
Attachments

  • 20250608_081654.png
    20250608_081654.png
    104.7 KB · Views: 14
Samia amegoma kuwapa hela chauma baada ya mikutano yao kutohudhuriwa na watu
 
Akina Mrema sasa hv huko chauma wanajuta kuondoka chadema!

Matarajio yao yamekwenda tofauti na malengo, walidhani wangeipasua chadema katikati matokea yake wamesepa wenyewe wanachama wa kawaida wakabaki kuwashangaa.

Ule muitikio wa wananchi kwenye kampeni zao umewanyong'onyeza mnoo...hawana hamu tena!!.

Bila shaka muda sio mrefu wataanza kulaumiana na kugombana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom