Mbona ccm inalelewa na polisi lakini umenyamaza ?Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
Kama Magufuli kaweza kuwa Rais unadhani ni raia gani mwingine atashindwa ?Mimi nishajiuliza hata hiyo 2020 pale chadema nanii mgombea urais??
Kila nikiangalia sioni
Kuna watu usio wajue wewe wako ndani ya Chadema wana vigezo zaidi ya mawaziri unaowafahamu wewe,usidhani chadema ni hawa unaowafahamu mkuu kwani CCM kina mwita ulikuwa unajua atakuwa Waziri ndani ya Serikali ya CCM?Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
Hata rais uliyenaye sasa hivi hujawahi kumwona!!Mimi nishajiuliza hata hiyo 2020 pale chadema nanii mgombea urais??
Kila nikiangalia sioni
Sasa mbona kwa mwenyekiti wanasema hakuna kama Mbowe?Kuna watu usio wajue wewe wako ndani ya Chadema wana vigezo zaidi ya mawaziri unaowafahamu wewe,usidhani chadema ni hawa unaowafahamu mkuu kwani CCM kina mwita ulikuwa unajua atakuwa Waziri ndani ya Serikali ya CCM?
Hata rais uliyenaye sasa hivi hujawahi kumwona!!
Kama Magufuli kaweza kuwa Rais unadhani ni raia gani mwingine atashindwa ?
Mbona Magufuli kamuona Waitara anafaa kuliko akina Nape, Mwigulu na Ma-ccm wengine?Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
Tumia akili; hoja ni kwamba, chama kama taasisi kinalelewa na mtu binafsi. Kwa maana nyingine, mtu anakuwa na nguvu kuliko taasisi. Sasa wewe unasema CCM kinalelewa na polisi; hata hivyo unachosema hakina ukweli. Hata kingekuwa kweli, polisi ni taasisi na sio mtu binafsi, hivyo tumia mifano inayorandana na hoja.Mbona ccm inalelewa na polisi lakini umenyamaza ?
Mimi nataka mpendekeze majina matatu tu
Kwakuwa polisi ni taasisi basi ni halali kuibeba ccm. Magufuli bado ana kadi ya NCCR-MAGEUZI, unalijua hilo?Tumia akili; hoja ni kwamba, chama kama taasisi kinalelewa na mtu binafsi. Kwa maana nyingine, mtu anakuwa na nguvu kuliko taasisi. Sasa wewe unasema CCM kinalelewa na polisi; hata hivyo unachosema hakina ukweli. Hata kingekuwa kweli, polisi ni taasisi na sio mtu binafsi, hivyo tumia mifano inayorandana na hoja.
Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
Magufuli alitokea upinzani ndo akahamia ccm 1995.Wakikujibu pls niitee
Mimi nishajiuliza hata hiyo 2020 pale chadema nanii mgombea urais??
Kila nikiangalia sioni
Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
Sasa mbona kwa mwenyekiti wanasema hakuna kama Mbowe?