Kabisa aiseeWatanzania tumeumbwa kwa non reactive materials.
Ingekuwa Kenya ndio liko hili sakata la bandari, kingenuka
Money talkNajiuliza hii mikutano kwanini hawakufanya kabla ya kusaini mkataba? Wananchi tukaelezwa wanayoyasema sasa hivi.Yani wanatuona wa Tanganyika hatuna akili kabisa
Wanatuona kama vikorosi ila safari hii tutaoneshana makaliNajiuliza hii mikutano kwanini hawakufanya kabla ya kusaini mkataba? Wananchi tukaelezwa wanayoyasema sasa hivi.Yani wanatuona wa Tanganyika hatuna akili kabisa
Sasa watatuuza kabisa hawa Mshana
HakikaWatanzania tumeumbwa kwa non reactive materials.
Ingekuwa Kenya ndio liko hili sakata la bandari, kingenuka
Vijana waliokosa aibu kwa ajili ya njaa
Sema, CCM inakuonaje wewe mwana ufipa na genge lenuuNajiuliza hii mikutano kwanini hawakufanya kabla ya kusaini mkataba? Wananchi tukaelezwa wanayoyasema sasa hivi.Yani wanatuona wa Tanganyika hatuna akili kabisa
Kwani tunazo? Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?Najiuliza hii mikutano kwanini hawakufanya kabla ya kusaini mkataba wananchi tukaelezwa wanayoyasema sasa hivi?
Yaani wanatuona wa Tanganyika hatuna akili kabisa.
Nakweli hana akiliNajiuliza hii mikutano kwanini hawakufanya kabla ya kusaini mkataba wananchi tukaelezwa wanayoyasema sasa hivi?
Yaani wanatuona wa Tanganyika hatuna akili kabisa.
Makali gani wewe hata mtwala wakati wa kuchimba gesi ilikuwa hivio tena Makonde wa mtwala walikuwa wakali kama nyuki walikuwa tayali kufana na baadhi yao walikufa nabaadhi kuwachwa bila miguu lakini gesi ilichimbwa,wewe uko tayari kufa kwa ajili ya bandari?kama uko tayali maandamano yanakuja kaambele tukuoneWanatuona kama vikorosi ila safari hii tutaoneshana makali
Unabisha na mimi au ,pumbavuMakali gani wewe hata mtwala wakati wa kuchimba gesi ilikuwa hivio tena Makonde wa mtwala walikuwa wakali kama nyuki walikuwa tayali kufana na baadhi yao walikufa nabaadhi kuwachwa bila miguu lakini gesi ilichimbwa,wewe uko tayari kufa kwa ajili ya bandari?kama uko tayali maandamano yanakuja kaambele tukuone