mhemeavisogo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 345
- 200
Sayansi imethibitisha kuwa Daku husababisha kujamba sana na ubongo wa binadamu kuwa kama wa BATA.
Mleta mada umeathiriwa na daku
Hapana c mtu wa Mbeya ni mtu Watanzania.
Sayansi imethibitisha kuwa Daku husababisha kujamba sana na ubongo wa binadamu kuwa kama wa BATA.
Mleta mada umeathiriwa na daku
Kwan na ww umetokea wapi?...wagen haramu nn
Hivi huyu jamaa Bw.Pinda alitokea wapi? alikuwa wapi kabla ya kuwa Waziri mkuu? halafu kwao ni Mbeya?

Kitendo cha kuthibitisha kinaashiria kuna utata katika uraia wako!Ni hivi majuzi Tu nimeweza kuthibitisha kwamba ukoo wangu umekuwa kwenye hii Ardhi kuanzia karne ya 18, na hilo ni kutokana na kumbukumbu zilizopo!