Hivi Bw.Pinda kwao Ni Mbeya?

Hivi Bw.Pinda kwao Ni Mbeya?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,331
Reaction score
15,025
Hivi huyu jamaa Bw.Pinda alitokea wapi? alikuwa wapi kabla ya kuwa Waziri mkuu? halafu kwao ni Mbeya?
 
wewe ni raia wa Tanzania!?
"Tuanzie hapo kwanza"!

Ni hivi majuzi Tu nimeweza kuthibitisha kwamba ukoo wangu umekuwa kwenye hii Ardhi kuanzia karne ya 18, na hilo ni kutokana na kumbukumbu zilizopo!
 
Ni hivi majuzi Tu nimeweza kuthibitisha kwamba ukoo wangu umekuwa kwenye hii Ardhi kuanzia karne ya 18, na hilo ni kutokana na kumbukumbu zilizopo!

Kwenye ardhi ya wapi ndugu?
Na umethibitisha kwa akina nani?
 
Ni hivi majuzi Tu nimeweza kuthibitisha kwamba ukoo wangu umekuwa kwenye hii Ardhi kuanzia karne ya 18, na hilo ni kutokana na kumbukumbu zilizopo!

Mkuu hebu kuwa serious kidogo......Hivi kweli hujui anakotokea Pinda Waziri wako Mkuu na Mbunge wa.........

BACK TANGANYIKA
 
katikati ya ziwa Rukwa! Inasemekana Baba yake alikuwa GAGULA ndumba zake zilikuwa zinamlinda baba wa Taifa, kwa kurudisha fadhili JKN alijitolea kumsomesha mwanae same kwa Maji ya Tanga Mzindakaya ambaye baba yake alimchemsha Nyerere kwenye Pipa ili akilengwa kwa risasi isipenye.

Ndani ya CCM Utamaduni upo sana tu! Inasemekana hata Lowassa ilibidi akimbilie kwa Joshua baada ya kuona mashambulizi ya Membe yanazidi.
 
Kwenye ardhi ya wapi ndugu?
Na umethibitisha kwa akina nani?

Kwa Wamisheni Wazungu, babu babu baba wangu aliposilimishwa na kubatizwa, kuanzia hapo mpaka Leo Kumbukumbu ziko, nafikiri Ukoo kama wangu ni wa ndra sana Hapa nchini!
 
Hivi huyu jamaa Bw.Pinda alitokea wapi? alikuwa wapi kabla ya kuwa Waziri mkuu? halafu kwao ni Mbeya?

ndiyo...pinda ni mwenyeji wa mkoa wa mbeya. wakati Pinda amasoma skuli za awali alikuwa mkazi wa jimbo la nyanda za juu kusini--yaani jimbo la mikoa ya mbeya na iringa. mkoa wa mbeya kwenye jimbo hilo ulikuwa na vitu vikiitwa tarafa. pinda likuwa mkazi wa mkoa wa mbeya kwenye tarafa ya ufipa. are you happy now?

Miaka hiyo, tanganyika yoooote ilikuwa na watu pungufu ya milioni tisa. hapakuwa na haja ya kugawa mikoa kama iliyopo sasa kwa kuwa watu walikuwa wachache sana.

kwa kifupi pinda ni mwenyeji wa mkoa wa mbeya kwa historia ya ukubwa wa mkoa huo zamani. naomba na mie nikuulize wewe swali. je, anna makinda ni mwenyeji wa mkoa wa iringa?
 
katikati ya ziwa Rukwa! Inasemekana Baba yake alikuwa GAGULA ndumba zake zilikuwa zinamlinda baba wa Taifa, kwa kurudisha fadhili JKN alijitolea kumsomesha mwanae same kwa Maji ya Tanga Mzindakaya ambaye baba yake alimchemsha Nyerere kwenye Pipa ili akilengwa kwa risasi isipenye....Ndani ya CCM Utamaduni upo sana tu! Inasemekana hata Lowassa ilibidi akimbilie kwa Joshua baada ya kuona mashambulizi ya Membe yanazidi....

Duh! Hii ya kulalia mkuu! Ucku mwema!
 
ndiyo...pinda ni mwenyeji wa mkoa wa mbeya. Wakati pinda amasoma skuli za awali alikuwa mkazi wa jimbo la nyanda za juu kusini--yaani jimbo la mikoa ya mbeya na iringa. Mkoa wa mbeya kwenye jimbo hilo ulikuwa na vitu vikiitwa tarafa. Pinda likuwa mkazi wa mkoa wa mbeya kwenye tarafa ya ufipa. Are you happy now n?

Miaka hiyo, tanganyika yoooote ilikuwa na watu pungufu ya milioni tisa. Hapakuwa na haja ya kugawa mikoa kama iliyopo sasa kwa kuwa watu walikuwa wachache sana.

Kwa kifupi pinda ni mwenyeji wa mkoa wa mbeya kwa historia ya ukubwa wa mkoa huo. Naomba na mie nikuulize swali. Je, anna makinda ni mwenyeji wa mkoa wa iringa?

sijui!

katikati ya ziwa Rukwa! Inasemekana Baba yake alikuwa GAGULA ndumba zake zilikuwa zinamlinda baba wa Taifa, kwa kurudisha fadhili JKN alijitolea kumsomesha mwanae same kwa Maji ya Tanga Mzindakaya ambaye baba yake alimchemsha Nyerere kwenye Pipa ili akilengwa kwa risasi isipenye....Ndani ya CCM Utamaduni upo sana tu! Inasemekana hata Lowassa ilibidi akimbilie kwa Joshua baada ya kuona mashambulizi ya Membe yanazidi....

Dahhhh ...............Hii ni hatari kweli hivi kupata Urais ni shughuri pevu namna hiyo No wonder mtoto wa msoga anashinda MLINGOTINI na bado anaelemewa na kudondoshwa mara kwa mara kumbe kupata urais lunagharama kubwa kiasi hiki??????

BACK TANGANYIKA
 
Kwan na ww umetokea wapi?...wagen haramu nn

Ni hivi majuzi Tu nimeweza kuthibitisha kwamba ukoo wangu umekuwa kwenye hii Ardhi kuanzia karne ya 18, na hilo ni kutokana na kumbukumbu zilizopo!
 
Hivi huyu jamaa Bw.Pinda alitokea wapi? alikuwa wapi kabla ya kuwa Waziri mkuu? halafu kwao ni Mbeya?
Sayansi imethibitisha kuwa Daku husababisha kujamba sana na ubongo wa binadamu kuwa kama wa BATA.

Mleta mada umeathiriwa na daku
 
Back
Top Bottom