Hapo tumbo lake hata halitaunguruma,gusa wewe sasa uone moto wake!
mmmmmmHHHH!!!! wewe kayaguse uone, hapo kuna limnyama linaitwa immunity kutemeana na mazingira, underline the word immunityWatu wanafikiri usafi wa maji ni rangi....!
Watu wanafikiri usafi wa maji ni rangi....!
Mhhh hawa hapana, hapa wanaswari si unajua muda wa swaraa ukifika popote ruksa.
There's no such thing. Ingekuwa unaweza kuwazoea microbes na kujenga immunity basi hakuna Mtanzania angekufa na Malaria.immunity kutemeana na mazingira, underline the word immunity