Oyaa hulali jombaavita vya maji maji walikuwepo
nimelala hapa naona nipo jf. niambieOyaa hulali jombaa
😀 😀 😀 😀 😀 😀 pouwaaa....wacha tuangalie fundi alikosea wapi kufunga gypsumnimelala hapa naona nipo jf. niambie
hahaha ulipotelea wapi😀😀😀😀😀😀 pouwaaa....wacha tuangalie fundi alikosea wapi kufunga gypsum
Nipo jamani nlipigwaga ban katikati hapo basi pozi nkaishiwa ndo hivyohahaha ulipotelea wapi
umerudi kama kondoo na mida hii ndio umetoka maeneo nini ya kutekeleza majukumu ya ukatibu wa cheo chako?Nipo jamani nlipigwaga ban katikati hapo basi pozi nkaishiwa ndo hivyo