elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
Juzi nlikuwa naptia thread flan nikaona mchangiaj flan anaongelea kuhusu voda kuwa wana huduma ya internet bundle ijulikanayo kama bomba7 ambayo ni elfu kum kwa wiki na akadai ni unlimited. Jana nkajiunga na hyo huduma nika dwnload game ya need for speed mst wantd ambalo lilikuwa katka 4mat ya iso kikiwa na gb 2.84, pia nika dwnload msft ofice 2010 nadhani ina mb kama 900, then kabla ya kulala nkaacha comp ina dwnload universal xp drivers ina gb 1.8 asubuh nayo nikakuta tayari yan nkafurah. Lakin pia nikakuta msg kuwa. You have reached the limit of 3g. Na kila nkijaribu fungua any page kwenye internet haifunguk ina search kwa mda mrefu lakin haifunguki. Sasa cjaelewa au iko limited
mkuu siku zote ukitaka software yoyote full version nenda kwenye torrents site yoyote but zilizo maarufu ni hizimjomba tafadhari nielekeze nawezaje ku download hili game la need for speed most wanted?maana kila niki download inakuja fupi tu ambayo ni demo.
mi niliunga bomba 30 naona nina miezi miwili sasa haijakata bado pia...niliunganisha bomba7 kipindi cha Ramadhani mwezi wa tisa hadi leo hii bado naitumia na nimedownload vitu vingi sana
mi niliunga bomba 30 naona nina miezi miwili sasa haijakata bado pia...
speed kwangu mara chach sana ndo inatokea inakuwa slow kupita kias (imentokea kama mara tatu tu hivi) ila zaidi ya hapo mwendo mdundo...!vp spd mim after kufka limt ya gb kama 6 imekuwa xo slow
mkuu siku zote ukitaka software yoyote full version nenda kwenye torrents site yoyote but zilizo maarufu ni hizi
Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site
http://www.kat.ph/
humo unaweza pata software yoyote ila tu ikatkubidi uinstall hii kitu UTORRENT(search google) ka software flani hivi kadogo tu (kama 600kb hivi) ambacho ndo kanakusaidia kudownload hizo software utakazo sasa kutoka kwenye hizo site nlizokupa na nyinginezo utakazopata huko mbeleni..
BOMBA7 ni TZS 10,000 kwa siku 7. Ni unlimited but utadownload mpaka 750MB kwa speed ya juu then baada ya hapo utadownload kwa mwendo wa 64kbps . Na pia kwa BOMBA30 ni TZS 30,000 kwa siku 30. Hii ni unlimited but unadownload mpaka 2.5GB kwa speed ya juu then baada ya hapo utadownload kwa mwendo wa 64kbps.
Hiyo ni danganya toto yaani ukiwa nje ya mji kidogo ndiyo shida kabisa.mkuu hiyo 64kbps ni danganya toto, inafika hadi 1mbps, kama ni 64kbps haikaii zaidi ya dakika chache