elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,698
Juzi nlikuwa naptia thread flan nikaona mchangiaj flan anaongelea kuhusu voda kuwa wana huduma ya internet bundle ijulikanayo kama bomba7 ambayo ni elfu kum kwa wiki na akadai ni unlimited. Jana nkajiunga na hyo huduma nika dwnload game ya need for speed mst wantd ambalo lilikuwa katka 4mat ya iso kikiwa na gb 2.84, pia nika dwnload msft ofice 2010 nadhani ina mb kama 900, then kabla ya kulala nkaacha comp ina dwnload universal xp drivers ina gb 1.8 asubuh nayo nikakuta tayari yan nkafurah. Lakin pia nikakuta msg kuwa. You have reached the limit of 3g. Na kila nkijaribu fungua any page kwenye internet haifunguk ina search kwa mda mrefu lakin haifunguki. Sasa cjaelewa au iko limited