Hivi BASATA,TCRA , Waziri , haya ya Mitandaoni mmeamua kuyaacha yaharibu Watoto na Generation ? Nmeshindwa kabisa hata kuyatungia Sheria?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Kwanza nikiri, Mimi siitambui hii Serikali kama Serikali Halali , na hii inanipa ugumu wa kushauri kwakua sitaki nitaje neno 'Serikali'.

Lakini pia, Andiko hili ningemtaja Waziri Gwajima, ila kwakua siitambui Serikali hii, na huyu Mama Waziri ni Mama Smart aliyendani ya Genge la Wahuni, najikuta naye nashindwa kumu address Moja Kwa Moja.

Hata hivo , naandika ,ili siku chache zijazo tukishahapata Serikali ilotokana na watu, Bunge Makini, Vyombo vya Dola huru , Basi tuyaige Mazuri ya Wachina na Warusi katika kulindà Maadili, Mila, tamaduni na VIZAZI vyetu.

👇👇
Hawa Ma Content creator wa Kibongo, walozagaa Mitandaoni Ovyoovyo , ni chombo gan kinachowamonitor ?.

Hivi tumefikia Hatua , Watu wanatengeneza Maudhui ya Ngono, na kuyarusha Mitandaoni ambako kumejaa watoto wetu ,Vijana wetu?.

Wakati huohuo tunapambana na Mimba za utotoni? Maumbukizi ya Ukimwi Kwa age ya 15-24, Punyeto na ushoga Kwa Vijana?

Bahati mbaya sana, Miaka inasonga, Nchi Haina Sheria yoyote inayowalinda watoto (Individually) dhidi ya ukatili wa kijinsia wa Mitandaoni?

Hatuwezi kuwadhibiti Watoto juu ya kile wanachokitazama Mitandaoni, lakini je tinashindwa kuwalinda watoto Kwa kudhibiti haya majitu mazima yanayoweka maadhui ya kiovu kwa mitandao ya kijamii?.

Kwanini Maudhui Yao yawe Public ? Kwanini tusiwabane Hawa watengeneza Maudhui , wahakikishe Maudhui yao yanarushwa kwa Watu wazima tu ?

Kwann tusiwabane Wamiliki wa mitandao kuhakikisha kua Watumiaji wa Mitandao Kwa wote Watengeneza Maudhui na watazamaji ,Kila Mmoja anawajibikia katika kulinda Maadili ?.

Screenshot_20260118_190356~2.jpg

Ukiinhia kwenye Page za hawa biumbe , KINACHOENDELEA ni Maudhui ya Ngono tu .

Hivi mtoto wa miaka 14 Binti wa Kiume, amebalehe ,amevunja ungo, anaingia Mitandaoni anakutana na video za aina hii, kutoka Kwa Majitu mazima , ni kitu gan kinaingia kichwan kwake?.

KUna wanaovujisha Maudhui ya Ngono, wamekua wànakamatwa, wanafikishwa mbele ya Sheria, Sijui Huwa ni nguvu ya soda na Presha za Mitandaoni?

Nchi imeshindwa kabisa Kijana Rule and Regulations ambazo zingetumika kuongoza matumizi ya mitandao .

Si ajabu sasa, vitoto vya darasa la Tano, Sita Saba n.k vinaingiliana kinyume na maumbile , Ngono , Punyeto n.k, Ni kizazi gan tunakijenga??.

Kwanini Majitu ambayo yameamua Kwa makusudi au Kwa sababu zilizo nje ya Uwezo wao, kwakua hawatakua na Watoto, waharibu watoto wetu??.

CCM ni mdudu ,ni funza wa Taifa hili.
Serikali ya CCM ni Mchwa na Chawa .

Unapiga Marufuku nyimbo za Ney anayepigania watu wapate Katiba Mpya, Maji safi na salama, Unaacha upuuzi wa aina hiii UHARIBU kizazi??.

Unamzuia Nyimbo ya Makombolelo kupigwa kwenye Shughuli fulañ fulan, Unaacha Mitandaoni Maudhui ya namna hiii yaendelee kuharibu kizazi??.
 
View attachment 3531540
Ukitazama video hii, KINACHOENDELEA ni Maudhui ya Ngono tu .

Hivi mtoto wa miaka 14 Binti wa Kiume, amebalehe ,amevunja ungo, anaingia Mitandaoni anakutana na video za aina hii, kutoka Kwa Majitu mazima , ni kitu gan kinaingia kichwan kwake?.

Sinajabu sasa, vitoto vya darasa la Tano, Sita Saba n.k vinaingiliana kinyume na maumbile , Ngono , Punyeto n.k, Ni kizazi gan tunakijenga??.

Kwanini Majitu ambayo yameamua Kwa makusudi au Kwa sababu zilizo nje ya Uwezo wao, kwakua hawatakua na Watoto, waharibu watoto wetu??.

CCM ni mdudu ,ni funza wa Taifa hili.
Serikali ya CCM ni Mchwa na Chawa .

Unapiga Marufuku nyimbo za Ney anayepigania watu wapate Katiba Mpya, Maji safi na salama, Unaacha upuuzi wa aina hiii UHARIBU kizazi??.

Unamzuia Nyimbo ya Makombolelo kupigwa kwenye Shughuli fulañ fulan, Unaacha Mitandaoni Maudhui ya namna hiii yaendelee kuharibu kizazi??.
BASATA ipo kwa ajili ya NEY wa.mitego tu
 
Kuna mtu mzima mpumbavu mmoja hv jina limenitoka nae et n content creator, Kwenye insta yake imejaa content za ngono tuu, mpaka nawaza huyu jamaa hana ideas nyngn zaidi ya hizi pumba

Anyway, nadhani wanatoa kitu ambacho watu wengi wanatamani kuona.
 
Hii serikali ya veggies ndo imetufikisha hapa, Kama huko TikTok kuna mambo ya hovyo sana yanafanywa na hao content creator’s.
Halafu ajabu 2025 walipanda kwenye majukwaa ya veggies wakiwapigia kampeni..
 
wengine sio wabongo , utawaregulate vipi? Kama facebook wameona ni content sahihi wewe ni nani upinge?
 
Usahihi wa Content hauamuliwi na Wamiliki au mitandao husika, unaamriwa na Sheria, kanuni, miongozo na Taratíbu za Nchi husika.

Mataifa ya Ulaya ,Uchina, Urusi, Yana sheria Kali sana kwa Mitandao husika na kwa Watumiaji na Zinafuatwa.
 
Hii serikali ya veggies ndo imetufikisha hapa, Kama huko TikTok kuna mambo ya hovyo sana yanafanywa na hao content creator’s.
Halafu ajabu 2025 walipanda kwenye majukwaa ya veggies wakiwapigia kampeni..
TikTok Kwa Sasa ni Ngono, ushoga , unamtazama Binti yako wa form 3, ulomnunua Simu Kwa ajili ya matumizi ya kitaaluma, unaishiwa Pawa.
 
Unajua kweli ni kosa hilo ila tuongee ukweli mtoa mada wewe kama wewe mara ngapi humu ndani unajisifia uzinifu kwa kutumia elimu yako ya udaktari?

Ukitaka kutaja aibu ya mwenzio kwanza taja yako
Unanijua ?.

Jamiiforums Ina majukwaa mbalimbali .
 
Kwani hii wizara ya Shangazi Dorothy, imejikita kutatua matatizo ya mtandaoni baada ya yeye binafsi kuona au ku'tag'iwa?

Au ina mikakati mingine kulinda madhira yawapatao wahusika?
 
Kwanza nikiri, Mimi siitambui hii Serikali kama Serikali Halali , na hii inanipa ugumu wa kushauri kwakua sitaki nitaje neno 'Serikali'.

Lakini pia, Andiko hili ningemtaja Waziri Gwajima, ila kwakua siitambui Serikali hii, na huyu Mama Waziri ni Mama Smart aliyendani ya Genge la Wahuni, najikuta naye nashindwa kumu address Moja Kwa Moja.

Hata hivo , naandika ,ili siku chache zijazo tukishahapata Serikali ilotokana na watu, Bunge Makini, Vyombo vya Dola huru , Basi tuyaige Mazuri ya Wachina na Warusi katika kulindà Maadili, Mila, tamaduni na VIZAZI vyetu.

👇👇
Hawa Ma Content creator wa Kibongo, walozagaa Mitandaoni Ovyoovyo , ni chombo gan kinachowamonitor ?.

Hivi tumefikia Hatua , Watu wanatengeneza Maudhui ya Ngono, na kuyarusha Mitandaoni ambako kumejaa watoto wetu ,Vijana wetu?.

Wakati huohuo tunapambana na Mimba za utotoni? Maumbukizi ya Ukimwi Kwa age ya 15-24, Punyeto na ushoga Kwa Vijana?

Bahati mbaya sana, Miaka inasonga, Nchi Haina Sheria yoyote inayowalinda watoto (Individually) dhidi ya ukatili wa kijinsia wa Mitandaoni?

Hatuwezi kuwadhibiti Watoto juu ya kile wanachokitazama Mitandaoni, lakini je tinashindwa kuwalinda watoto Kwa kudhibiti haya majitu mazima yanayoweka maadhui ya kiovu kwa mitandao ya kijamii?.

Kwanini Maudhui Yao yawe Public ? Kwanini tusiwabane Hawa watengeneza Maudhui , wahakikishe Maudhui yao yanarushwa kwa Watu wazima tu ?

Kwann tusiwabane Wamiliki wa mitandao kuhakikisha kua Watumiaji wa Mitandao Kwa wote Watengeneza Maudhui na watazamaji ,Kila Mmoja anawajibikia katika kulinda Maadili ?.

View attachment 3531540
Ukiinhia kwenye Page za hawa biumbe , KINACHOENDELEA ni Maudhui ya Ngono tu .

Hivi mtoto wa miaka 14 Binti wa Kiume, amebalehe ,amevunja ungo, anaingia Mitandaoni anakutana na video za aina hii, kutoka Kwa Majitu mazima , ni kitu gan kinaingia kichwan kwake?.

KUna wanaovujisha Maudhui ya Ngono, wamekua wànakamatwa, wanafikishwa mbele ya Sheria, Sijui Huwa ni nguvu ya soda na Presha za Mitandaoni?

Nchi imeshindwa kabisa Kijana Rule and Regulations ambazo zingetumika kuongoza matumizi ya mitandao .

Si ajabu sasa, vitoto vya darasa la Tano, Sita Saba n.k vinaingiliana kinyume na maumbile , Ngono , Punyeto n.k, Ni kizazi gan tunakijenga??.

Kwanini Majitu ambayo yameamua Kwa makusudi au Kwa sababu zilizo nje ya Uwezo wao, kwakua hawatakua na Watoto, waharibu watoto wetu??.

CCM ni mdudu ,ni funza wa Taifa hili.
Serikali ya CCM ni Mchwa na Chawa .

Unapiga Marufuku nyimbo za Ney anayepigania watu wapate Katiba Mpya, Maji safi na salama, Unaacha upuuzi wa aina hiii UHARIBU kizazi??.

Unamzuia Nyimbo ya Makombolelo kupigwa kwenye Shughuli fulañ fulan, Unaacha Mitandaoni Maudhui ya namna hiii yaendelee kuharibu kizazi??.
Sijui na huyu Uncle T hawamuoni
 
Back
Top Bottom