Hivi Bangi Huwa ina nini? Haya ni machache yaliyowahi kuniacha hoi

is-smoking-weed-a-sin-300x232.jpg
 
Asante mkuu umenifungua macho,
nilikuwa najiuliza mbona vita ya madawa
ya kulevya imehama kutoka heroin,na unga
mwingine unaotoka nje ya nchi imehamia kwenye bangi na gongo,mihadarati na mirungi
vitu vilivyokuwepo enzi na enzi,kumbe navyo vina
madhara makubwa!

Mshangao wangu ulikuwa ni pale
mh.Makonda katika hotuba yake
alitaja njia kuu zinazoingiza madawa nchini
lakini kila pembe ya nchi unasikia polisi
wamekamata mashamba ya bangi
huku kukiwa hakuna taarifa zozote
kutoka bandari bubu za bagamoyo na msako mkali
kwenye majiji makuu kutafuta heroin,ila mashambani tu.
Asante kwa kunifungua akili.
 
Kuiga kubaya sana nakumbuka kabla ya kua sheikh kuna rafiki yangu alifukuzwa kwao nikaamua kukaa nae sasa yeye alikua anavuta.Kuna siku nikajaribu kidogo basi baada ya muda mule ndani kulikua na kiroba cha mkaa nusu lakini nikaona kiroba kimejaa viazi vya chipsi.Nilivyozidia nikawa namuomba rafiki yangu akaninunulie maziwa ili nikate stimu lakini akaniambia maziwa hayakati stimu basi nikamuomba animwagie ndoo nzima ya maji kichwani.Nilivyopata afadhali nikamwambia bangi zake asije nazo getto maana tulikua anavutia ghetto kwangu
 
ungepika chips
 
hiyo ni misemo tu ya watu, ili kuwajengea jamii juu ya ubaya wa Bange/dawa/ watoto wa BOB, ili watu waichukie waone kuwa ina madhara. ila bangi ni nzuri sana inafungua milango ya 6 ya ufahamu na inatibu na unaweza kufanya kitu ambacho ni cha kutumia akili sana. ndio maana watu wanamoka ili kusafiri kihisia.
 
Kuiga kubaya sana nakumbuka kabla ya kua sheikh kuna rafiki yangu alifukuzwa kwao nikaamua kukaa nae sasa yeye alikua anavuta.Kuna siku nikajaribu kidogo basi baada ya muda mule ndani kulikua na kiroba cha mkaa nusu lakini nikaona kiroba kimejaa viazi vya chipsi.Nilivyozidia nikawa namuomba rafiki yangu akaninunulie maziwa ili nikate stimu lakini akaniambia maziwa hayakati stimu basi nikamuomba animwagie ndoo nzima ya maji kichwani.Nilivyopata afadhali nikamwambia bangi zake asije nazo getto maana tulikua anavutia ghetto kwangu
Hahahaa Du!!!
 
Hahahaa Du!!!
We acha tu ndugu yangu!nilifanya makosa makubwa sana kujifunzia cha ARUSHA,hii sio stori ya kutunga ni kweli.Kichwa changu hakiwezi kuhimili vilevi coz nakumbuka kuna siku rafiki yangu mmoja kwao kulikua na harusi halafu shughuli ikafanyikia kwenye ukumbi nikashawishika kupiga SAFARI moja tu nikalewa chakali basi umri wangu ulikua mdogo lakini nikajikuta nacheza mziki na bonge la mama halafu lenyewe likanisusia mgongo na mie bila aibu nikawa nalimbambia mbele ya mama wa rafiki zangu ambao nawaheshimu sana
 
Juzi jamaa mmoja wa Muleba kwenye TV anadai yeye akivuta anakuwa na nguvu ya kulima hekari kwa muda mfupi. Kuna jamaa yeye alienda kuogelea kwenye maji yaliyotuama barabarani akidhani ni ziwa.

Mwingine alikuwa anaona umati wa watu wanamkimbiza wakati yuko peke yake. Mwingine mtaro mfupi na mwembamba yeye anauona kama ziwa tanganyika

Mwingine ukimtengea ugali hata uwe mkubwa kiasi gani anaumaliza peke yake
Mwingine akuruka sarakasi bila kushika chini huku akiwa hajui lolote kuhusu sanaa hiyo akaishia kuvunjika

Mwingine ukimuangalia machoni anakuonea aibu, na kukuchukia..
Mwingine anachekacheka bila sababu...

........

Hivi huu mmea Haramu Kwa tanzania huwa una ingrediates gani hadi unahamisha bongo kiasi hiki.

Ongezea zako....
bangi ina gusa ubongo kinachofwata kila mtu anafanya inavyo mtuma wengine kula sana,kuongea sana,kukaa kimya,kucheka sana,kufanya kazi ngumu bila kuchoka,kutosikia maumivu nk wachache sana inawapeleka kungonoka
 
When you smoke the herb it reveals you to yourself so wakati mwingine inategemea na kipimo mtumiaji alichotumia. Huku kwetu inatumika kama dawa ya asili kwa kuwa Mwenyezi Mungu hakufanya makosa kuutengeneza huu mmea na sisi tunaamini kwamba kuuzuia mmea huu ni kama kukosoa uumbaji wa Mwenye-enzi Jah Rastafari hah hah period!
 
Kabla ya waarabu kugundua matumizi ya cocaine katika matibabu hasa upasuaji (anaesthesia) wahindi walitumia bangi katika kumfanya mgonjwa awe sedated kabla ya kumfanyia upasuaji. Mgonjwa alipewa pombe anywe kasha akavutishwa moshi wa bangi kwenye chetezo. Usingizi wake baada ya hapo ni baada ya masaa 24 ndiyo anazinduka.
 
Back
Top Bottom