Baada ya kujua ni kuwateka watu kisaikologia sijawahi tena. Utampigiaje mwanaume magoti na kumwambia makosa yako? Ungama kwenye moyo wako na Mungu wako
Hata kama Yesu akirudu maadamu ana chembechembe za ubinadami ndani yake siwezi kuungama kwake ila nitampigia magoti Muumba wangu . Muumba wangu hana mtoto aliyemtoa kafara kama binadamu wafanyavyo.