Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,500
- 12,833
Ni muda sasa umepita toka nipate kipaimara, pia nadhani ndio ilikua Mara yangu yamwisho kutinga church. Ivo nataka kujua kuwa watu bado uungama kama zamani au kunamabadililiko yashafanyika ?
Hahahahhaa nimecheka sana..dahNi muda sasa umepita toka nipate kipaimara, pia nadhani ndio ilikua Mara yangu yamwisho kutinga church. Ivo nataka kujua kuwa watu bado uungama kama zamani au kunamabadililiko yashafanyika ?
Bado tunaendelea kuungama,tena kwa Kasi ya 5G.Ni muda sasa umepita toka nipate kipaimara, pia nadhani ndio ilikua Mara yangu yamwisho kutinga church. Ivo nataka kujua kuwa watu bado uungama kama zamani au kunamabadililiko yashafanyika ?
Nini kimekuchekesha?.Hahahahhaa nimecheka sana..dah
Basi mkuu utakuwa na dhambi mingi mingi, maana sio kwa kasi hiyo.Bado tunaendelea kuungama,tena kwa Kasi ya 5G.
Kuungama ni kwenda mwambia padre madhamb yako yote kwa maana ya kwamba hapo unamwambia Mungu...Kwani kuungama maana yake nini?

Kwani kuungama maana yake nini?
Imani yako Juu hili wanalolifanya ikoje?Kuungama ni kwenda mwambia padre madhamb yako yote kwa maana ya kwamba hapo unamwambia Mungu...![]()
Mstari wa mwisho..yaan jamaa yuko dunia yake tu...raha sanaNini kimekuchekesha?.
Inaitwa Sakramenti ya kitubio.Kwani kuungama maana yake nini?
Pokeeni roho mtakatifu mtakaowaondolea dhambi wameondolewa, mtakaowafungia wamefungiwa.Kuungama ni kwenda mwambia padre madhamb yako yote kwa maana ya kwamba hapo unamwambia Mungu...![]()
Sawa Maandiko yao yanaruhusu kufanya hivyo?Inaitwa Sakramenti ya kitubio.
Yohana 20:21-23Sawa Maandiko yao yanaruhusu kufanya hivyo?
Kama hapana wao wametoa wapi.
Aisee!Ni muda sasa umepita toka nipate kipaimara, pia nadhani ndio ilikua Mara yangu yamwisho kutinga church. Ivo nataka kujua kuwa watu bado uungama kama zamani au kunamabadililiko yashafanyika ?
bashite naye sijui kaachaNi muda sasa umepita toka nipate kipaimara, pia nadhani ndio ilikua Mara yangu yamwisho kutinga church. Ivo nataka kujua kuwa watu bado uungama kama zamani au kunamabadililiko yashafanyika ?
mkuu na bado huna mpango wa kwenda. Mkimbilie Mungu dunia inamambo mengi hii.Ni muda sasa umepita toka nipate kipaimara, pia nadhani ndio ilikua Mara yangu yamwisho kutinga church. Ivo nataka kujua kuwa watu bado uungama kama zamani au kunamabadililiko yashafanyika ?
Nilikua najua Mungu yupo mbinguni, kumbe yupo church.mkuu na bado huna mpango wa kwenda. Mkimbilie Mungu dunia inamambo mengi hii.