Hivi azam walidhamini cecafa

Hivi azam walidhamini cecafa

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
18,201
Reaction score
25,981
Wakati michuano ya cecafa inaendelea kulikuwa na matangazo ya bidhaa za azam kwenye uwanja wa taifa kikawaida ili mtu aweke matangazo hayo inabidi walipie lakini wakati wa utoaji wa zawadi kwa washindi wa mashindano pia kulikuwa na bango la bidhaa za azam je ina maana azam walikuwa wadhamini na kama walikuwa wadhamini mbona hawakutangazwa huu sio uhuni mwingine wa tff na cecafa na mwisho vilabu viamke visitegemee kuwa vinaweza kusonga mbele bila kuwa na mikakati ya kiutawala na kiufundi
 
Sahihi kabisa,hapa kuna namna...Musonye na TFF wana lao jambo katika hilo
 
walidhamini pia na dstv kupitia super sport walidhamini..
 
Back
Top Bottom