Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Nabishana na mdau moja
naombeni jibu
Hapana ni operating systems tofauti. Kwa lugha nyepesi ni kuwa iOS inatengenezwa na Apple Inc. wa
tengenezaji wa iphone n.k. Android inatengenezwa na kampuni la Google na utaipata kwny simu za samsung, htc, xperia...wakati iOS utaipata kwny iphone tu.
Kaka Sumsung ni harware company Google ni software company.Kumbe hii ndio tofauti yake. Aksante kwa ufafanuzi mzuri. Hivi kama android inatengenezwa na google, je kazi ya sumsung nini? Wao hawana kitu chao binafsi kama ilivyo kwa apple?
Na je huu ugonvi tunaousikia kati ya apple na sumsung kwa nini tusiseme ni kati ya apple na google? Au zipo applications za sumsung kama wao?
Hapana ni operating systems tofauti. Kwa lugha nyepesi ni kuwa iOS inatengenezwa na Apple Inc. watengenezaji wa iphone n.k. Android inatengenezwa na kampuni la Google na utaipata kwny simu za samsung, htc, xperia...wakati iOS utaipata kwny iphone tu.
Kumbe hii ndio tofauti yake. Aksante kwa ufafanuzi mzuri. Hivi kama android inatengenezwa na google, je kazi ya sumsung nini? Wao hawana kitu chao binafsi kama ilivyo kwa apple?
Na je huu ugonvi tunaousikia kati ya apple na sumsung kwa nini tusiseme ni kati ya apple na google? Au zipo applications za sumsung kama wao?
Na Blackberry Je ?
kaka ugomvi wa samsung na apple upo pande mbili, upande wa hardware na software.
kwenye hardware samsung kashtakiwa kwa kosa la kuiba design ya apple (round corner)
kwenye software samsung kashtakiwa sababu skin yake ya android (touchwiz) imeiga muonekano wa ios.
kwenye android kila manufacture akipewa android basi anaitengeneza anavyotaka yeye. samsung anatumia android na juu kaeka skin ya touchwiz, htc anatumia android juu kaeka sense, sony ana yake, xiaomi ana yake na wengine.
samsung pia ana kitu chake binafsi kinaitwa tizen ambacho katengeneza yeye na intel. nafkiri mwisho wa mwaka huu tutaziona simu za samsung zinazotumia tizen