Hivi anaetumia id ya mkulima kwenye draft la playok ni nani haswa? Ni jini au?

Mbona mi naona nyota tu, eti jamani, mmeelewa?
Ni draft la kucheza online unakutana mafundi humo wa kila pembe za Tanzania. Unaingia playok.com kisha unaweza kujisajili au ukaingia kama guest user. Kisha baada hapo chagua Tanzania draft hapo utakutana na wasukuma kete. Ukianza utapewa point 1200 kadri unavyozidi kushinda ndivyo na point zinaongezaka. Na pia ukicheza na aliyekuacha mbali kwa point na ukatoa sare, utaongezewa point. Ukifungwa point zinashuka ila ukifungwa na tura point wanakukata nyingi.

Mle matura wana rangi zao za blue bahari
Wanajitahidi wana rangi za kijani
Watabe wana rangi za njano
Walioshindikana wana rangi za orange.
 
Nimechagua, lakin nikichoose jina la mtu, naona inajicheza yenyewe
Mkuu hao ni watu wanacheza. Tafuta table table ambayo ina mtu mmoja au fungua table yako kisha set dakika kisha panda. Umeona mfano hapo table namba 100 na namba 112 ndio zina mtu mmoja anayetafuta mtu wa kucheza nae. Kwahiyo ukiona hivyo ndipo unaweza kuingia kwenye table hiyo kisha ukapanda kucheza nae
Screenshot_2022-04-17-22-55-17-220_com.brave.browser.jpg
 
Nimechagua, lakin nikichoose jina la mtu, naona inajicheza yenyewe
Ukishaingia kwenye table husika kama kuna mchezaji utabonyeza kwenye sehemu ambayo haina mtu. Mfano kama upande wa kushoto kuna mtu basi utabonyeza kwenye namba mbili kulia kisha uta start ili kuanza kucheza na aliyopo kushoto. Mfano huu chini
IMG_20220417_230451.jpg
 
Aahahahahahhaaa ngoja nijizuie...
Ila ashiki imeshika hatamu....
bora hata mpira wa miguu au mbio za magari
kwanini hata usikimbie mbio ndefu nasikia zina genye sana ukishindwa unajilengesha kwa mshindi kumaliza ashiki
sasa draft watakushika sana na kunakuliwa KING ujue usijegoma Dadaa
 
Ni draft la kucheza online unakutana mafundi humo wa kila pembe za Tanzania. Unaingia play.com kisha unaweza kujisajili au ukaingia kama guest user. Kisha baada hapo chagua Tanzania draft hapo utakutana na wasukuma kete. Ukianza utapewa point 1200 kadri unavyozidi kushinda ndivyo na point zinaongezaka. Na pia ukicheza na aliyekuacha mbali kwa point na ukatoa sare, utaongezewa point. Ukifungwa point zinashuka ila ukifungwa na tura point wanakukata nyingi.

Mle matura wana rangi zao za blue bahari
Wanajitahidi wana rangi za kijani
Watabe wana rangi za njano
Walioshindikana wana rangi za orange.
Ooh, kumbe
 
bora hata mpira wa miguu au mbio za magari
kwanini hata usikimbie mbio ndefu nasikia zina genye sana ukishindwa unajilengesha kwa mshindi kumaliza ashiki
sasa draft watakushika sana na kunakuliwa KING ujue usijegoma Dadaa

Basi naacha..😅
 
Mkuu hao ni watu wanacheza. Tafuta table table ambayo ina mtu mmoja au fungua table yako kisha set dakika kisha panda. Umeona mfano hapo table namba 100 na namba 112 ndio zina mtu mmoja anayetafuta mtu wa kucheza nae. Kwahiyo ukiona hivyo ndipo unaweza kuingia kwenye table hiyo kisha ukapanda kucheza naeView attachment 2191257
Mbona wanakula kwa kurudi nyuma?
 
Huyu jamaa Ni kipajii aisee nimeangalia game zake Ni Moto anatembeza vichapo Atari sasa kila nikiingia playok naenda kuangalia mechi zake tu...! Ashkelon Ni bingwa lakini anatembezewa motoo
Screenshot_20220418-112750.jpg
Screenshot_20220418-113327.jpg
 
Shida ya hizi Online gqmes mtu akiona dalili anafungwa anapotea Online hamalizii mchezo,na nitawakamua hv hv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom