Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,645 Reaction score 7,122 Sep 8, 2012 #21 WaTZ wengi bado wanamfumo Dume,mtoto wako unataka akubebee nani?,hivi ni wapi pameeandikwa kuwa mwanaume atakiwi osha vyombo? Maisha ni kusaidiana
WaTZ wengi bado wanamfumo Dume,mtoto wako unataka akubebee nani?,hivi ni wapi pameeandikwa kuwa mwanaume atakiwi osha vyombo? Maisha ni kusaidiana
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,644 Sep 8, 2012 #22 Kwa hiyo ukimsaidia mke wako ndio unakuwa umeolewa?
salito JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1,406 Reaction score 734 Sep 8, 2012 #23 Wakuu ni raha sana kubeba mtoto wako na hasa kama mmefanana,me hata nikitembea na wife lazima niwabebe watoto wangu maana ni twins halafu nimefanana nao kupita kiasi,kwakweli huwa najisikia raha sana..
Wakuu ni raha sana kubeba mtoto wako na hasa kama mmefanana,me hata nikitembea na wife lazima niwabebe watoto wangu maana ni twins halafu nimefanana nao kupita kiasi,kwakweli huwa najisikia raha sana..
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,660 Sep 8, 2012 #24 Kingcobra said: Jambo la uhakika ni kwamba hiyo familia siyo ya watu wa Mkoa wa Mara Wilaya za Tarime, Serengeti na Bunda. Click to expand... Na wala sio wamasai !!!
Kingcobra said: Jambo la uhakika ni kwamba hiyo familia siyo ya watu wa Mkoa wa Mara Wilaya za Tarime, Serengeti na Bunda. Click to expand... Na wala sio wamasai !!!
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Sep 8, 2012 #25 INCRIDIBLE!!:flypig::flypig::flypig:
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 603 Sep 8, 2012 #26 mbona kama kanya maji au mtoto mzito sana.
K kwitega Senior Member Joined Apr 10, 2012 Posts 166 Reaction score 50 Sep 8, 2012 #27 Hakuna issue hapo. Labda kama una mawazo na mtazamo wa enzi za ujima.