Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,562
Katika Phrase ya1: UKAWA ulianzishwa na Polepole (Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM) kama movement ya kupata katiba mpya na kuviunganisha vyama kadhaa vyama kadhaa vya upinzani Kwa lengo hilo.
Katika phrase ya 2: UKAWA ukajitotokeza kama muungano wa siasa Kwa lengo LA kushinda uchaguzi 2015.
Sasa ambapo namna mchakato wa katiba wala uchaguzi, ni nani anayeweza kufahamu kuwa Kwa sasa majukumu na malengo ya UKAWA ni yapi hasa?