Hivi ACT-Wazalendo kujaza watu mkutanoni ndio kukubalika?

dalili moja wapo kuonesha kama zzk anakubalika ni wewe na vilaza wenzio wa cdm kila cku kuja humu kumzungumzia nyambaf zenu,,mnawashawa nae nini kama hakubaliki au mnataka dushe lake.
 
Na mara nyingi wapinzani wanajipa moyo kwa kujaza wetu wengi, lakini ukiangalia watu waliopo wengi hawajajiandikisha na hawawezi kupiga kura. Tofauti na mikutano ya CCM ukiangalia huwa imejazwa na akina mama ambao ki msingi asilimia kubwa ndio wapiga kura
 
Mkuu ungemuuliza na chadema wanapotumia kigezo cha kujaza.watu mikutanoni kuwa ni kukubalika kwa hiyo.kwao pia sio sahihi!?

chadema hujaza watu na huwapata wanachama wengi mpaka kuishiwa kadi,mfan ktk kiwanja cha polisi makambako ambacho zzk alikitumua tar.11/04/2015,cdm tulikuwa na mkutano tar.8/04/2015 tuliuza kadi kwa wanachama wapya 230,na magamba 23 yalisarenda.sasa huyu zana za kilimo kwenye kiwanja hicho hicho watu walifika lkn alitoka kapa bila kuwapata wanachama wanaojiunga .sasa utafananishaje mikutano ya kuigiza ya zzk na ya cdm? Zzk Ni muigizaji asiyejua anaigiza nini
 
Back
Top Bottom