Dr Che Guevara Member Joined Jan 19, 2015 Posts 71 Reaction score 33 Jan 20, 2015 #21 determine+unigold.. 99% ni majibu ya kweli,, false +ve labda ukitumia determine tu... yafaa upime zaidi ya kituo kimoja na kila baada ya miezi 3 ufanye vpmo atleast kwa mwaka mzima utajua uko vipi
determine+unigold.. 99% ni majibu ya kweli,, false +ve labda ukitumia determine tu... yafaa upime zaidi ya kituo kimoja na kila baada ya miezi 3 ufanye vpmo atleast kwa mwaka mzima utajua uko vipi
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,291 Jan 21, 2015 #22 Vp mi wa group O+ naweza pata ngoma? Make huwa siugui magonjwa mengine mara kwa mara.
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 Jan 22, 2015 #23 biee said: Duuh..ndo hivo. I wish to know more. Inakuwaje had mtu anakuwa ni ceria.je kuna sababu za kisayansi?? Click to expand... Wengi wao ni wenye blood group O+
biee said: Duuh..ndo hivo. I wish to know more. Inakuwaje had mtu anakuwa ni ceria.je kuna sababu za kisayansi?? Click to expand... Wengi wao ni wenye blood group O+
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 Jan 22, 2015 #24 KakaJambazi said: Vp mi wa group O+ naweza pata ngoma? Make huwa siugui magonjwa mengine mara kwa mara. Click to expand... Mkuu KakaJambazi hata mimi nina bld grp O+ ila ngoma haichagui bld grp yoyote,unaweza kupata ndio Ila wengi wa careers ni wa blood group O+ Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KakaJambazi said: Vp mi wa group O+ naweza pata ngoma? Make huwa siugui magonjwa mengine mara kwa mara. Click to expand... Mkuu KakaJambazi hata mimi nina bld grp O+ ila ngoma haichagui bld grp yoyote,unaweza kupata ndio Ila wengi wa careers ni wa blood group O+
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,876 Jan 22, 2015 #25 Bandihujapimampakasasaaa usipimetenaukofitmpwaumepata TKT yatigoconcert
Mugabe wa Bongo Senior Member Joined Apr 14, 2012 Posts 145 Reaction score 73 Jan 22, 2015 #26 Mandingo said: Duuh thread kama hizi ukiiona wakati ume toka kugegeda halafu hukuaa helment lazima uwe mpole! Click to expand... Hahahahahaha Hilo nalo neno Mkuuu
Mandingo said: Duuh thread kama hizi ukiiona wakati ume toka kugegeda halafu hukuaa helment lazima uwe mpole! Click to expand... Hahahahahaha Hilo nalo neno Mkuuu
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,362 Jan 22, 2015 #27 Pdidy said: Bandihujapimampakasasaaa usipimetenaukofitmpwaumepata TKT yatigoconcert Click to expand... Tusomee uliyoyaandika kwa sauti tafafhali.
Pdidy said: Bandihujapimampakasasaaa usipimetenaukofitmpwaumepata TKT yatigoconcert Click to expand... Tusomee uliyoyaandika kwa sauti tafafhali.
L La Princesa JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 1,056 Reaction score 1,188 Jan 30, 2015 #28 nemulo said: Mkuu KakaJambazi hata mimi nina bld grp O+ ila ngoma haichagui bld grp yoyote,unaweza kupata ndio Ila wengi wa careers ni wa blood group O+ Click to expand... Nop carriers wengi ni o-,na ndio group la damu Kombozi kwa magroup yote ya damu unayoyajua Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nemulo said: Mkuu KakaJambazi hata mimi nina bld grp O+ ila ngoma haichagui bld grp yoyote,unaweza kupata ndio Ila wengi wa careers ni wa blood group O+ Click to expand... Nop carriers wengi ni o-,na ndio group la damu Kombozi kwa magroup yote ya damu unayoyajua