HIV test online.

Hata ukipima dawa hakuna! msemo kwenye gar jijin daslamu!
 
Kuna vitendo vingine havifai....Hayo mambo ya HIV online ya kujitakia ya nini? Mie nahisi hapa chiti chati kuna pepo la ngono

ukija mpwitompwito utaondoka mpwitompwito bila kujua nini kinaendelea we humjui hubby wangu Bishanga vizuri
 
Kuna vitendo vingine havifai....Hayo mambo ya HIV online ya kujitakia ya nini? Mie nahisi hapa chiti chati kuna pepo la ngono

Kwi kwi kwi wapi jf hakuna pepo la ngono?
By the way hapa chichat soon tutafungua kituo cha VCT ( voluntary counselling and testing), unakaribishwa mummy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…