Hiv ni sim au os?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Jama kuna kipind niliiona mdau mmoja anaongelea kuwa kuna ishu ya kuishusha chini page ambayo huitumii kwenye sim yani kama kwenye computer ile kufungua page nying na kuzishusha(ni matumain yangu nimeeleweka japo sijafanikiwa tumia technical term) sasa je ni kutokana na aina ya sim au?
 

Unazungumzia 'minimizing a webpage'? Kama ndiyo, basi hiyo inategemea na web browser iliyopo inaruhusu kufanya hivyo.

Kama ni kuhusu multitasking (ku-run apps nyingi kwa wakati mmoja bila kuwa na haja ya kufunga yoyote) basi hapo inategemea aina na toleo la OS ya simu
 

kwa kuongezea: kama ni ku download web pages ama ku save web pages hii inategemea na browser
 
kama ni manimization bas os za smartphone ndo znapga mzgo hapooooo
 
Ni SIMU sio sim, sim ni kitu kingine kabisa, tuandike vizuri ili tuelewane humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…