M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,172 Reaction score 90,508 Jun 15, 2026 #21 MWANAHARAMU said: Kwenye Shintoism hakuna kitu kama Nirvana ila ipo Kami. Hawahangaiki na afterlife kabisa Click to expand... Na ndio binadamu wenye ustaarabu kuliko watu wote hapa duniani. Hizindini kutishana tuu mara unabeba nyota mara sijui utaenda motoni basi somjo tuu. Muhimu ni unaishije na wenzio ukiwa hapa duniani
MWANAHARAMU said: Kwenye Shintoism hakuna kitu kama Nirvana ila ipo Kami. Hawahangaiki na afterlife kabisa Click to expand... Na ndio binadamu wenye ustaarabu kuliko watu wote hapa duniani. Hizindini kutishana tuu mara unabeba nyota mara sijui utaenda motoni basi somjo tuu. Muhimu ni unaishije na wenzio ukiwa hapa duniani
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,871 Reaction score 7,948 Jun 15, 2026 #22 Uchi wa mwanamke ni baraka ngono nh sehemu ya ibada ndio maana viumbe vyote chini ya jua vinajamiana!
Uchi wa mwanamke ni baraka ngono nh sehemu ya ibada ndio maana viumbe vyote chini ya jua vinajamiana!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,847 Jun 16, 2026 #23 Za kuambiwa changanya na za kwako... Cc: Mahondaw
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,710 Reaction score 20,716 Jun 17, 2026 #24 Hizi imani zipo kwa masikini tuu manake sisi lazima kila kitu tukitafutie sababu. We kama ni wakupata mikosi utaipata tu hata usipolala na yoyote.
Hizi imani zipo kwa masikini tuu manake sisi lazima kila kitu tukitafutie sababu. We kama ni wakupata mikosi utaipata tu hata usipolala na yoyote.
M MTAMBUCA JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 32,860 Reaction score 49,083 Jun 17, 2026 #25 Seleina Tikili said: Ukilala na mwanamke anaua nyota yako. Maana wahubiri wakilokole wanasema hayo. na tena eti ngono n mlango wa mapepo. Click to expand... Ikimbie zinaa kwa nguvu zako zote
Seleina Tikili said: Ukilala na mwanamke anaua nyota yako. Maana wahubiri wakilokole wanasema hayo. na tena eti ngono n mlango wa mapepo. Click to expand... Ikimbie zinaa kwa nguvu zako zote