Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,747
Nimahubir mkuu sijakutajaKwa utakatifu gani? Kwamba nyie hamna mikosi?
Siyo Walokole tu hata Budhists wanaofanya Yoga wanakwambia SEX ni spiritual energy exchange ambapo ukiwa na nguvu kubwa inahama kwa uyo malaya na ikiwa una nguvu ndogo unaichukua ya kwake ndo maana unaweza kudate na mtu ukaona mambo yako yanawin tu au ukawa na gundu(dalili zake kukataliwa na watu)Ukilala na mwanamke anaua nyota yako.maana wahubiri wakilokole wanasema hayo. na tena eti ngono n mlango wa mapepo.
Niblock nisioneNimahubir mkuu sijakutaja
Ukilala na mwanamke anaua nyota yako.
Maana wahubiri wakilokole wanasema hayo. na tena eti ngono n mlango wa mapepo.
Em soma comment yanguKwann ww mwanaume ndie usiue nyota ya huyo mwanamke?
We hujasoma vizuri NivarnaKwenye dini ya Ubudha, tawi la Ushinto( Shintoism) wanaamini mlango wa kuelekea peponi ni tupu ya mwanamke.
Kwao hizo na ya kiume husheherekewa kabisa kama ni maeneo matakatifu.
Sasa sehemu takatifu, inakuwaje na mikosi?
Kwenye Shintoism hakuna kitu kama Nirvana ila ipo Kami.We hujasoma vizuri Nivarna
Do kumbeeKwenye Shintoism hakuna kitu kama Nirvana ila ipo Kami.
Hawahangaiki na afterlife kabisa
Hilo ni wazo la kishetaniKuna wanaopandisha na kuwasha zaidi nyota yako. Mm ni shuhuda mara baada ya kumgonga kahaba yule miaka kumi iliyopita nipo level zingine kabisa Kwa sasa.
Uzuri alinitunuku tu Kwa kunihurumia mana nilikuwa fala tuu, akaniambia umenidinya leo basi maisha yako yataboreka sana. Nakweli nilianza kuona vitu vinatokea tuu kiajabu ajabu kuhusu kazi, kipato, heshima mpaka kupata mke wa ndoto yangu.
Ila alikufaga yule manzi angekuwa hai ningewapa connection ndugu zangu wanaonisumbua kiuchumi siku hizi.
Waogo mnoooo mbona wadhungu wanadingana kweli kweli na nyota zao zinazidi kungaaa tuuUkilala na mwanamke anaua nyota yako.
Maana wahubiri wakilokole wanasema hayo. na tena eti ngono n mlango wa mapepo.