Nakuomba sana uchukue hatua.
hii imemtokea rafiki yangu wa karibu, mtoto wake ambaye sasa ni marehemu, alipata infection kutoka kwa cousin yake.
yaani watoto walikuwa wanatembeleana wakati wa likizo, wakawa wanachangia kila kitu, kuanzia mataulo, wanaoga pamoja, wanacheza you name it. yule mtoto mwingine alishaanza kuugua maana alikuwa mpaka na mapele. Japokuwa wazazi wa mtoto aliyeugua mwanzo walijua status yake, hawakuchukua hatua madhubuti kumprotect huyu mwingine. matokeo yake mtoto akaambukizwa. it is sad story kwa kweli. inabidi na watoto wetu tuanze kuwaelimisha tangu wadogo.
huku kujifanya tusiwatenge inabidi tuwe na mipaka especially when children are involved.
take care