Mental case wahi milembe au lutindi ukatibiwe.kwakwel kuna hii tabia imezuka ya watu kutukana viongoz wa nchi. na kukibeza sana chama cha mapinduzi. sielewi ni kwanini wamekuwa na chuki ya wazi kabisa.
Mental case wahi milembe au lutindi ukatibiwe.
Ndio demokrasia hiyo!Na mkubali kusemwa kwa maneno makali na ya ukweli ambayo nyie mnaita matusi! Na sidhani kama wanawatukana au hawaipendi ccm bali matendo yanayofanywa na baadhi ya viongozi wa ccm, sijawahi sikia mtu akimsema vibaya mtu kama mwandosya lakin ni ccm damu
kwakwel kuna hii tabia imezuka ya watu kutukana viongoz wa nchi. na kukibeza sana chama cha mapinduzi. sielewi ni kwanini wamekuwa na chuki ya wazi kabisa.
kwakwel kuna hii tabia imezuka ya watu kutukana viongoz wa nchi. na kukibeza sana chama cha mapinduzi. sielewi ni kwanini wamekuwa na chuki ya wazi kabisa.
Na ww kwann huipendi chadema?
Kwanza ni dhihaka kuwaita wanajumuiya wa CCM kwamba ni viongozi, kiongozi hua anajua ethics za leadership, instead ukiwaita watawala it sound romantic! Mimi swali langu liko tofauti kidogo, hivi unaipenda CCM? Toa sababu ili upewe za kwanini inachukiwa! Kwenye majibu yako ambatanisha interests if there is any ili kujidefend!
kwakwel kuna hii tabia imezuka ya watu kutukana viongoz wa nchi. na kukibeza sana chama cha mapinduzi. sielewi ni kwanini wamekuwa na chuki ya wazi kabisa.
ni kwasasabab zifuatazo.
1 ni chama kisichodili na udin ukanda wala ukabila.
2 kila mwanachama anaheshimika sawa na mwanachama mwingine popote ndan ya nchi.
3 kinatoa mamlaka kwa raia wake kumuadhib kiongoz wao hasa wabunge kwa kuchagua kiongoz mingine hatakama ni kutoka upinzan.
4 uvumiliv.
Hii mada ungeiweka jukwaa la siasa! Waombe tu mods waipeleke kule!
But kwa vile umeiweka jukwaa la katiba nitakujibu kwa kuzingatia katiba mpya:
CCM ni chama chenye sera za kipuuzi!
- Kudai kura ya wazi kwa masuala nyeti kama muundo wa serikali, ie tatu au mbili, ni kudumaza democrasia na kuwafanya watu wasitoe ya moyoni na kutoa misimamo ya vyama vyao ili waendelee kubaki madarakani na kurefusha maisha yao!
- Kuendelea na serikali mbili ni upuuzi wao mwengine!
kwakwel kuna hii tabia imezuka ya watu kutukana viongoz wa nchi. na kukibeza sana chama cha mapinduzi. sielewi ni kwanini wamekuwa na chuki ya wazi kabisa.
wewekussakwakwel kuna hii tabia imezuka ya watu kutukana viongoz wa nchi. na kukibeza sana chama cha mapinduzi. sielewi ni kwanini wamekuwa na chuki ya wazi kabisa.
kwakwel kuna hii tabia imezuka ya watu kutukana viongoz wa nchi. na kukibeza sana chama cha mapinduzi. sielewi ni kwanini wamekuwa na chuki ya wazi kabisa.
wewekussa
===>Fursa zooote za nchi hiii wanagawana wao na watoto wao,mimi mkazi wa mabondeni nateseka na mvua yangu,maji mpaka chumbani,wao wako oysterbay.