Hitilafu ya batch za sua

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,658
722
Jamani mimi nina pdf lakini hizi batc zinaonekana nusu ukurasa,,,yaani hazionekani fuul page,,,vp kwenu zinaonekanaje?????
 
Dah nilizani ni kwangu 2,hata me imekata,yaani nimeona jina 2 na kiac cha mkopo bt mchanganuo wenyewe cjaunyaka,kama kunaaliefanikiwa atuhelp.
 
Back
Top Bottom