Hit squad: Picha imekamilika kuchorwa

Nadhani Mshana jr utahitajika mahali ili ueleze tena huu uzi wako kwa mdomo yaani ana kwa ana ili wajiridhishe na hiyo picha yako iliyokamilika ni picha gani hiyo ambayo wewe pekee ndiyo unaijua lakini unaeleze matukio ya watu waliopotea na wengine kupigwa risasi......
 
Hapo mahali ni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…