The bible series yaani inaangaliwa na watu btw 20 million to 14 million .Ni hot series inainyeshwa every Sunday sasa Jana shetani katokea hee nilishikwa na butwaa .sasa watu wakaanza kuuliza mbona anafanana na president .Muende mjionee wenyewe huyo actor ni mtu wa morocco mweupe kapaka rangi nyeusi.Leo history channel wamesema hafanani na Obama na hawajaomba msamaha.Pili kwani mtu mweusi ndio shetani? .What do you all think ?