mjanjaflani
Member
- Apr 23, 2015
- 30
- 59
hivi nilikuwa sijui, kumbe nyeto inasababisha uwalaza!
Pole sana mkuu, kitendo cha kuja hapa na kueleza kinachokusibu inaonyesha ni kwa jinsi gani unajiamini, una tatizo la kisaikolojia tu linalokujengea hofu juu ya mabadiliko uliyoyaona ktk mwili wako. Najua ulianza taratibu na utaacha taratibu, jipe muda kwa kuwa ulibahatika kuingia kwenye mahusiano mfanye mwenzio kuwa faraja pale unapohisi upweke juu ya tatizo hilo, si rahisi kuacha, lkn utaweza!! kinachotakiwa ni kuachana na yaliyopita na kuanza mapya anzia hapo ulipo.
ndo hivyo mkuuu.. ningepiga na Picha uone inavyokula nyeto. Mimi shahidi.hivi nilikuwa sijui, kumbe nyeto inasababisha uwalaza!
best comment so far. inafariji, ila ngoja nikwambie mi nilishawahi kupumzika like a year na nikawa nafanya mazoezi tu na haikusaidia. ila siku niliyorudia nikarudia kwa kasi Sana. yaani sikupumzika