adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,590
- 7,769
Hata ungetokea wapi tayari moja ya tabia kuu zenu watu ni kujaa upepo kama wewe hapo.watu wa Moshi hawana akili finyu kama zako.Huo mkoa wenu na ni kati ya mikoa duni kabisa kimaendeleo na sifa kubwa uchawi,wanga mwingi ..roho mbaya na hawachangii lolote kwenye hata maendeleo yao binafsi.Kila kitu mnataka bure.Ndio maana hata mbunge wenu yule ameweza kucheza na akili zenu kawaacha kama mlivyo.Badilikeni mpunguze kuwa watu wa ajabu ajabu.Sijui wewe ni nani uwapangie wao kitu cha kuamini
Waache na ardhi yao,waache na mila zao
Wewe unazo za kwenu,kama zenu ni bora ni zenu,na wao wanaona zao bora
Hakuna ustaarabu eti wa jamii fulani una hold superiority over the other!
Waache,fanya yako!
Natoka Moshi by the way!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanamke mzuri hutongozwa saaana ndomana mnasema wagangaji
Sa nyie mnasura mbovu nani awasumbue
😂 😂 😂 😂 😂 dawa imeingia.Ndio maana hata mkuu wa kaya aliwaambia mzidi kuzaliana.Ndivyo mlivyo mzee, hiyo Mpumbavu sana wewe ndio sentensi zao kuu sana huko.Mshukuru sana wa kuja ndio wanafumbua macho sasa hivi.Mana mkitoka Moshi,Arusha na Dar huwa hamsalimii kabisa wenzenu.Mnbadilika kuanzia kuongea mpaka kutembeaa..angalia huo hapo Moshi unakotokea hakuna watu wa ajabu ajabu na mambo ya ajabu kama yako.Tena mlivyo na mambo duni daah...umethibitisha hapa.Again,yale yale!
Yale yale ya kuona ustaarabu fulani ni bora zaidi ya mwingine which is nonsense...
Unatumia skewed lens ya kabila lako ku-view kabila jengine lisilokuhusu!
Ndio shida hizi ya jitu moja kujiona eti jamii yake yeye ndio staarabu na yenye mila bora zaidi ya jamii ingine!
Kuhusu umasikini sijui unatumia vigezo gani vyako wewe ulivyojiamulia kupima jamii zengine?!
Tuseme jamii ya United States of America sababu imeendelea economically ndio watu zaidi ya watu wakiopo Tanzania sababu tu hawana maendeleo ya kiuchumi?
Mpumbavu sana wewe!
Huwezi tukana the entire population ya jamii fulani kwa kutumia vigezo vya jamii yako wewe binafsi!
Upumbavu ulioje!
😂 😂 😂 😂 😂 dawa imeingia.Ndio maana hata mkuu wa kaya aliwaambia mzidi kuzaliana.Ndivyo mlivyo mzee, hiyo Mpumbavu sana wewe ndio sentensi zao kuu sana huko.Mshukuru sana wa kuja ndio wanafumbua macho sasa hivi.Mana mkitoka Moshi,Arusha na Dar huwa hamsalimii kabisa wenzenu.Mnbadilika kuanzia kuongea mpaka kutembeaa..angalia huko Moshi unakotokea hakuna watu wa ajabu ajabu na mambo ya ajabu kama yako.Tena mlivyo na mambo duni daah...umethibitisha hapa.Again,yale yale!
Yale yale ya kuona ustaarabu fulani ni bora zaidi ya mwingine which is nonsense...
Unatumia skewed lens ya kabila lako ku-view kabila jengine lisilokuhusu!
Ndio shida hizi ya jitu moja kujiona eti jamii yake yeye ndio staarabu na yenye mila bora zaidi ya jamii ingine!
Kuhusu umasikini sijui unatumia vigezo gani vyako wewe ulivyojiamulia kupima jamii zengine?!
Tuseme jamii ya United States of America sababu imeendelea economically ndio watu zaidi ya watu wakiopo Tanzania sababu tu hawana maendeleo ya kiuchumi?
Mpumbavu sana wewe!
Huwezi tukana the entire population ya jamii fulani kwa kutumia vigezo vya jamii yako wewe binafsi!
Upumbavu ulioje!
Kwanini historian za makabila. Makabila Mengi wanasema wametokea Kushi(Ethiopia)
Wepi hao tena?Mimi nilijua hao wametulia ila wale watani zenu ni shidaaah
Hilo ni tatizo la Makabila yote Tanzania.Mkuu acha kabisa.....najua wakiruhusu muingiliano wa makabilamengine itawasaidia kutoa roho za umaskini na kutopenda watu wa kuja kusonga mbele na kuleta maendeleo kwenye wilaya zao.Kama wataendelea kuwa hivyo basi wimbi la Umaskini kamwe halitowaacha salama...
NyilambaWepi hao tena?
[emoji23][emoji23]murlenda ntuni kuko anya buyaneAyuuu
Kweli kabisa mkuu yaani mnyaturu akienda arusha anarudi mchaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dawa imeingia.Ndio maana hata mkuu wa kaya aliwaambia mzidi kuzaliana.Ndivyo mlivyo mzee, hiyo Mpumbavu sana wewe ndio sentensi zao kuu sana huko.Mshukuru sana wa kuja ndio wanafumbua macho sasa hivi.Mana mkitoka Moshi,Arusha na Dar huwa hamsalimii kabisa wenzenu.Mnbadilika kuanzia kuongea mpaka kutembeaa..angalia huo hapo Moshi unakotokea hakuna watu wa ajabu ajabu na mambo ya ajabu kama yako.Tena mlivyo na mambo duni daah...umethibitisha hapa.
Kujah kuko see kubha ghosya kurlie akhemaAmochi anyandoghu, arimi habari ya ughaya ahumba na ancha, aghosya na akhema
Punguza povu! Vipi kuhusu kukeketwa?We bwege sana Wasukuma wanawajua WARIMI
WANYATURU ambao awali walijulikana kwa jina la Warimi ni watu wanaoishi karibu wilaya zote za mkoa wa Singida yenye tarafa saba.
Kwa Mujibu wa Patrick Mdachi katika kitabu cha Wanyaturu wa Singida, Mila na Desturi zao, Wanyaturu ni moja ya makabila yanayojumlishwa katika kundi la Nilo-Hamites, lenye asili ya Wabantu walioishi Abysinia ambayo sasa inajulikana kama nchi ya Ethiopia.
Ngihenga antu afaa antrivighinghonga[emoji23][emoji23]murlenda ntuni kuko anya buyane
Unaona ulivyo na wivu sasa?Hata ungetokea wapi tayari moja ya tabia kuu zenu watu ni kujaa upepo kama wewe hapo.watu wa Moshi hawana akili finyu kama zako.Huo mkoa wenu na ni kati ya mikoa duni kabisa kimaendeleo na sifa kubwa uchawi,wanga mwingi ..roho mbaya na hawachangii lolote kwenye hata maendeleo yao binafsi.Kila kitu mnataka bure.Ndio maana hata mbunge wenu yule ameweza kucheza na akili zenu kawaacha kama mlivyo.Badilikeni mpunguze kuwa watu wa ajabu ajabu.
Na moja kati ya sifa yenu kuwa ni kupaona Arusha na Moshi ni bora zaidi kama ulivyo fanya hapo mwisho maana ndio sehemu kuu mnazokimbilia namkirudi huku kwenu hamgusiki...