Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 488
Huku kwetu mateja wanasafisha vioo vya gari pale gari ikisimama foleni za mataa alafu wanadai mshiko, ole wako usipomlipa!!!!
Hahahaa...... Ngabu Nyani tumekuona!
Huyo babu ni muhudumu na sare yake ya kazi.
Siku hizi unajaza mwenyewe.
.hahaaaHahahaa...... Ngabu Nyani tumekuona!
hahahah eti "huduma nyingine wanayotoa ni kulalamikiwa kuiba mafutaZamani vituo vya kujaza mafuta vilikuwa vinaitwa vituo vya huduma (service station). Unabaki ndani ya gari. Mhudumu anajaza mafuta. Anasafisha vioo anapima oil na vitu vya aina hiyo.
Kwa Marekani vituo vya aina hii siku hizi unaweza kukutana navyo kwenye vituo vya mafuta vya nje ya miji. Sehemu kama Kibaha.
Kwa Tanzania utaratibu huu unaendelea ingawaje hawatoi huduma zaidi ya kujaza mafuta. Huduma nyingine wanayotoa ni kulalamikiwa kuiba mafuta.
Kwa siku hizi mafuta unajaza mwenyewe. Kama wewe ni kibosile unaacha dereva wako akujazie mafuta. Au kama uko na wife wako mara nyingi utaona aibu kumuacha yeye ajaze mafuta hata kama yeye ndio dereva.
Hapo unaikontrol pump mwenyewe na unaweza kulipa hapo hapo kwenye pump kwa kutumia kadi yako. Hapo hakuna lalam za kusema nimeibiwa mafuta.
Oljiijjikiojimkijikiooiioonuhknlopoooooooonujipnohugjob puny I hip okZamani vituo vya kujaza mafuta vilikuwa vinaitwa vituo vya huduma (service station). Unabaki ndani ya gari. Mhudumu anajaza mafuta. Anasafisha vioo anapima oil na vitu vya aina hiyo.
Kwa Marekani vituo vya aina hii siku hizi unaweza kukutana navyo kwenye vituo vya mafuta vya nje ya miji. Sehemu kama Kibaha.
Kwa Tanzania utaratibu huu unaendelea ingawaje hawatoi huduma zaidi ya kujaza mafuta. Huduma nyingine wanayotoa ni kulalamikiwa kuiba mafuta.
Kwa siku hizi mafuta unajaza mwenyewe. Kama wewe ni kibosile unaacha dereva wako akujazie mafuta. Au kama uko na wife wako mara nyingi utaona aibu kumuacha yeye ajaze mafuta hata kama yeye ndio dereva.
Hapo unaikontrol pump mwenyewe na unaweza kulipa hapo hapo kwenye pump kwa kutumia kadi yako. Hapo hakuna lalam za kusema nimeibiwa mafuta.
Zamani vituo vya kujaza mafuta vilikuwa vinaitwa vituo vya huduma (service station). Unabaki ndani ya gari. Mhudumu anajaza mafuta. Anasafisha vioo anapima oil na vitu vya aina hiyo.