Asante kwa Elimu mkuuEwaaa
IJUE HISTORIA YA VATICAN
Vatikani
Mji wa Vatikani ni dola-mji lenye eneo lakilomita za mraba 0,44 tu. Hivyo ni nchi ndogo kuliko zote duniani. Pande zote inazungukwa na Italia.
Dola la Mji wa Vatikani Wimbo wa taifa: Inno e Marcia Pontificale(Kiitalia)
Wimbo la PapaMji mkuuMji wa Vatikani1
41°54′ N 12°27′E Mji mkubwa nchini Mji wa VatikaniLugha rasmi Kilatini KiitaliaSerikali
Papa
Katibu wa Dola
Ufalme
Papa Fransisko
Pietro ParolinUhuru
Mkataba wa Laterani
11 Februari 1929Eneo
- Jumla
- Maji (%)
0.44 km² (ya 232)
Idadi ya watu
- 2008 kadirio
- Msongamano wa watu
791 (ya 229)
1,780/km² (ya 6)FedhaEuro (€)4 (EUR)Saa za eneo
- Kiangazi (DST)CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)Intaneti TLD.va Kodi ya simu+395
Ramani ya Mji wa Vatikani
Idadi ya wakazi ni 791; raia ni 565 tu (mnamo Oktoba 2008).
Ni nchi ya Papa ambaye ni askofu waRoma na mkuu wa Kanisa Katolikiduniani kote.
Jina limetokana na kilima cha Vatikani(kwa Kilatini: Mons Vaticanus) ndani yajiji la Roma, upande wa magharibi wa mto Tiber.
Pamoja na Basilika la Mt. Petro, jengo lakanisa kubwa kuliko yote duniani, Vatikani ina makanisa mengine saba, jumba la Vatikani, ofisi za utawala wa Kanisa Katoliki, mabustani, stesheni yatreni, nyumba za kuishi, hosteli kwa ajili ya mafukara na makumbusho yenye hazina kubwa za sanaa kiasi kwamba nchi nzima inahesabiwa na UNESCOkuwa Urithi wa dunia (tangu mwaka 1984).
Historia
Mabaki ya Dola la Papa
Mji wa Vatikani ni mabaki ya Dola la Papa lililotawala sehemu kubwa ya Italia ya Kati kwa karne nyingi hadi 1870.
Tangu 1860 baadhi ya maeneo hayo yalitwaliwa na Ufalme mpya wa Italia uliolenga kuunganisha sehemu zote zapeninsula ya Italia.
Utawala wa Papa juu ya mji na mkoa wa Roma ulilindwa na Ufaransa hadi 1870.
Vita ya 1870 kati ya Ujerumani na Ufaransa ililazimisha Ufaransa kuondoajeshi lake Roma, ambao hivyo ulitekwa na jeshi la Italia tarehe 20 Septemba18

Tuanze na meccaKwanini usifutwe huo mji?
Kwa nn ufutwe?!Kwanini usifutwe huo mji?
Akina Tipu Tipu waliosomba maelfu ya Watanganyika kwenda utumwani enzi hizo walitokea Vatican?!Vatican ilibariki kuchukuliwa waafrika utumwani Vatican ni baba wa ubaguzi wa rangi
Natamani nikujibu ila upo n'a ujinga mwingi sana. Kwa hiyo unanipasa kukufuta ujinga ndio tuanze hii discussion.. Pia waarabu n'a dini Yao ni wafanya biashara wakubwa wa utumwa kama ilivyo VaticanAkina Tipu Tipu waliosomba maelfu ya Watanganyika kwenda utumwani enzi hizo walitokea Vatican?!
Kwa taarifa tu, utumwa ulikuwepo kabla ya VaticanNatamani nikujibu ila upo n'a ujinga mwingi sana. Kwa hiyo unanipasa kukufuta ujinga ndio tuanze hii discussion.. Pia waarabu n'a dini Yao ni wafanya biashara wakubwa wa utumwa kama ilivyo Vatican
Utumwa uliokuwepo hakujali rangiKwa taarifa tu, utumwa ulikuwepo kabla ya Vatican
Mji gani umekaa kimaswali maswali? [emoji15]Kwa nn ufutwe?!
Mecca ndiyo wapi mkuu? Ni mji au jina la mtu?Tuanze na mecca
So sadAcha tabia ya kukopi then unaend google translate una paste uandishi ni hobby na kazi moja ngumu sana fukua vitu kuna source nying sana soma uelewe kaa chini uanze kuandika sawa bro?! Hapa nakupa 1/10 ya kuonyeaha nia ya kuwa mwandishi ila hamna kitu umefanya hapa
Nimekuja kusoma uzi Kwa kasi,nikaishia kuwa disappointed!Acha tabia ya kukopi then unaend google translate una paste uandishi ni hobby na kazi moja ngumu sana fukua vitu kuna source nying sana soma uelewe kaa chini uanze kuandika sawa bro?! Hapa nakupa 1/10 ya kuonyeaha nia ya kuwa mwandishi ila hamna kitu umefanya hapa