lukubha lugosha
Senior Member
- Oct 5, 2016
- 105
- 54
Nchi yetu wanaangalia vyeti hawaangalii contents ulizonazo
Ni kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!Makonda AKA Daudi Albert Bashite ameshazungukia Makanisa mengi na Misikiti ya kutosha. Katika sehemu zote hizo hakuna hata moja itakayobadilisha matokeo yake ya form four kutoka sifuri hadi kufaulu. Kitu anachopota kwao ni msaada wa kisakolojia ili aweze kuhimili aibu na mashambulizi kutoka kwa wananchi wanaohoji matokeo yake ya kitato cha nne na tuhuma za kutumia cheti cha mtu mwingine.
Msaada wa kisaikolojia kutoka kwa watumishi wa Mungu kwa Makonda unamatokeo ya muda tu, na wala hauna matokeo ya kudumu. Ni wakati sasa kwa Wachungaji na Mashehe kumshauri Makonda kutumia fedha aliyochuma akiwa mkuu wa wilaya na mkoa kwenda nje ya nchi (mfano Kenya au Uganda) kusoma tena kidato cha nne ili apate cheti chake halali. Umri wa Makonda unamruhusu kusoma kwa sababu elimu haina Mwisho. Atamaliza masomo yake na anaweza kumkuta mteule wake akiwa madarakani bado. Bila ya hilo, Makonda anahangaika bure, hatafaulu kidato cha nne kwa kuzunguka makanisani na misikitini kuombewa.
I couldn't agree more with you Mdukuzi.kuna uhusiano kati ya elimu ya darasani na matendo yako katika dunia ya sasa ya sayansi na technolojia,kwani hekima ya uongozi huja kwa njia ya talanta,elimu au uzoefu wa eneo husika makonda hakuwa na hata moja kati ya haya ,pili ni muhimu kufahamu kuwa kuna watu wana akili nyingi ila wapo nje ya system ya serikali,ni kama ma observer wa mchezo hao watu ni hatari sana
Wauza ngada hawatushindi,tatizo askali wetu kila.zaNi kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!
Yes, kanisani ni nyumbani kwa mkristo.Si kweli kuwa alikuwa nyumbani kwake bali wakati analialia alikuwa kanisa moja la KKKT. Picha zinaonyesha akibembelezwa na mchungaji
Ni kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!
Ni kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!
Vita hii Ni nzuri lakini haimuhalalishii kughushi nyaraka za serikali na kufanya udanganyifu (zuri moja halifuti baya) pa kusifiwa Asifiwe pa kuwajibika awajibikeNi kweli Daudi Bashite amefoji vyeti,lakini mashambulizi dhidi yake hayatoki hasa kwa wananchi.Kiukweli yanatoka kwa wauza unga.Huu ndio ukweli.Tusiandike mambo ili kufurahisha nafsi zetu tu.Hii ni vita ya wauza unga dhidi ya Bashite.Mungu wao ambaye ni fedha amenajisiwa!
Kuwaambia wenzako kujiajiri ni rahisi saana!Ajiajiri si huwa naona wanasema wenzao tulio mtaani tujiajiri!
Au amtafute kigwangala amsaidie kufikiri nje ya box
SaanaKujiajiri sio jambo.rahisi, hizo wanazosema ni blah blah kwakua tu wameajiriwa.
Wanasiasa ni wanafiki ile mbaya..
ukitaka kufanikiwa take time to learn vijana wote waliojifanya kimbelembele kuliko wakubwa zao hawakufika mbali,tupac,amina chifupa,martin luther king jrn,malcom x,dr kreluu, nk