Historia ya Papa Mpya Robert Francis Prevost

Kusoma kote huko na bado wanaabudu sanamu?

Kama haitoshi bado wanaamini kuwa Yesu ni Mungu

Elimu dunia wanayo ila elimu ya Biblia ni zero kabisa
 
Kwann hua wanawabadil majina?! Hao akina leo XVi ni kina nani?!
🤣🤣🤣. Leo XIV ndo huyu sasa. Nyuma yake kuna akina Leo 13 kabla na kwa mujibu wa Wikipedia ni hawa hapa na miaka waliokuwa Mapapa kwenye mabano.
 
Huyu Papa yupo pamoja na machoko au? Hili mbona mnatubania mnasifia PhD tu.
 
Amewahi kutembelea Tanzania mara kadhaa, kiswahili anakiongea vizur sana
 
W
Sasa unasemea papa? Ukiona mtu anaitwa askofu jua ana PhD (hapo sijaongelewa makadinali ambao ndio wanakua mapapa).

NB: Achilia mbali askofu au kadinali, ukiona mtu kapata upadri jua kichwani kuna elimu ya maana sio hizi za kuungaunga!
Watu wanadhani kuwa mtu akiwa wa Dini ni kulaza,kumbe kinyume chake,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…