Historia ya Papa Mpya Robert Francis Prevost

Dunia imepata Papa mpya wa kum-harass sasa
 
Kikubwa asije akafanana na Yule mavi fiducia supplicant alieacha harufu ya umavi mavi kwenye majengo ya Vatican na dhehebu la kikatoliki...na amekufa kama mbwa asie na heshima yoyote....
 
Kikubwa asije akafanana na Yule mavi fiducial supplicant alieacha harufu ya umavi mavi kwenye majengo ya Vatican na dhehebu la kikatoliki...na amekufa kama mbwa asie na heshima yoyote....
Mavi labda ya kwako, unamuwekea maneno ambayo yana maana yako.
 
Nini msimamo wake kuhusu mabwabwa kuwa sehemu ya ukatoliki?
Hapo ndio tutaanza kumpima uwezo wake kiimani. Akianza danadana ya kuupigia debe upinde tutampelekea moto wa mashambulizi mpaka ateme bungo.
Ndio akili zako zilipo koma? Unawaza mabwabwa tu yamkinu wewe ni mmoja wapo.
 
Reactions: FWC
Walau na sisi Mathematicians tumetoa Papa😁 katika historia ya kanisa
 
Sasa unasemea papa? Ukiona mtu anaitwa askofu jua ana PhD (hapo sijaongelewa makadinali ambao ndio wanakua mapapa).

NB: Achilia mbali askofu au kadinali, ukiona mtu kapata upadri jua kichwani kuna elimu ya maana sio hizi za kuungaunga!
ndio maana wakitoa waraka nchi inatetemeka
 
Kwa mda alioyeteuliwa kuwa Kadnali ni kama aliandaliwa kuwa Papa, September 30, 2023 ni juzi hapo.
 
Sasa unasemea papa? Ukiona mtu anaitwa askofu jua ana PhD (hapo sijaongelewa makadinali ambao ndio wanakua mapapa).

NB: Achilia mbali askofu au kadinali, ukiona mtu kapata upadri jua kichwani kuna elimu ya maana sio hizi za kuungaunga!
Kichwani kuna elimu unabusu mbao au kiloba cha cement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…